Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

TEAMO baby hajambo?Naona BABU kasema kila kitu usichoke kuendelea kuwakumbusha ndugu zako
 
Kama kisingizio ni kupikiwa vibua na mchuzi ya nyama na tembele ndo maana mnaishia bar, shirikini na wake zenu kutengeneza ratiba ya chakula kwa kila mwezi kitakachowawezesha kuvutiwa kula home, na mchangie ipasavyo financially, siyo unataka kula kuku wa kienyeji huku unaacha buku mbili home, matokeao yake unapikiwa tembele au unasepa kula vilivyokaangwa bar. shame.
 
chkulia hao wote hawapo, then familia ni wewe na mpango mzima sio, haya mnachukuzana haoooo kibila, mnapiga ndovu kopozzzz na ugali kokoto, je hiyo nayo ni kula na familia?
 
Yani issue ni soda?
 
Hata mimi msinitafute, nimuwahi mwanangu, mama yake na kibua

Mimi ntakuwa nakula nao ijumaa, jumamosi na jumapili
hahahahahahahahahah!

CCM NDIOO CHAAMAAAAAAAAAAAAAAAAA,CCM YAJENGA NCHIIIIII
MAPINDUZII TUONGOZEEEEEEEEEEEEEEEEE,CCM YAJENGA NCHIIIIII
 
Hata mimi msinitafute, nimuwahi mwanangu, mama yake na kibua

Mimi ntakuwa nakula nao ijumaa, jumamosi na jumapili

Mimi Jumatatu, jumanne na Ijumaa.... zimebaki siku ngapi hapo? halafu kaka yangu pale TBL akikosa mshahara, si ntalaaniwa?
 
Hata mimi msinitafute, nimuwahi mwanangu, mama yake na kibua

Mimi ntakuwa nakula nao ijumaa, jumamosi na jumapili
Yani kibua na tembele ni sehemu ya familia.
Bia na eliza sio sehemu ya familia?
 
Hata mkishirikiana vipi kupata supu ya kongoro nyumbani ngumu banaaaa....au ugali kokoto
 
ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
mamaaa la carmel I SECOND YOU
 
Sorry, kwa mfano huo haina maana sisi ni SHETANI.
Asante kwa kunisamehe!

Lakini ilikuwa namaana kwamba, hata kama inaonekana maneno haya ni tofauti na matendo yetu ya jana.
Leo tumebadilika, kwa maneno na matendo pia.
 
Yani kibua na tembele ni sehemu ya familia.
Bia na eliza sio sehemu ya familia?

Umeona eh? wakati tumeambiwa tuwapende mpaka maadui zetu, tuwatembelee yatima na wajane..... Hivi kula na Eliza si kula na familia?
 
Hata mkishirikiana vipi kupata supu ya kongoro nyumbani ngumu banaaaa....au ugali kokoto
Mkubwa umenikumbusha.........kuna siku nilirudi home na kitu cha miguu ya mbuzi na kichwa kizima....nikasema dinner langu liwe supu ya hii makitu! nikaambiwa si ukanywe huko bar?
Sababu nyingine.
 
You are right BUT economically wrong. Baa zinawahitaji sana kina baba muda na saa zile zile za Dinner
 
Umeona eh? wakati tumeambiwa tuwapende mpaka maadui zetu, tuwatembelee yatima na wajane..... Hivi kula na Eliza si kula na familia?
Hawa jamaa ni wabaguzi sana. makabaila wa familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…