LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
Wakuu kuna hiki kitu ukimuuliza MTU yoyote hata mafundi wazamani wakongwe ukimwambia suala LA kustua Gari ya automatic atakwambia haiwezekani kabisaa.ukimuuliza why na akupe sababu atakupa sababu za kawaida kabisa ambazo mm kwangu zinajibika na zinakuwa na njia mbadala na bado zinabaki kutozuia kustua Gari ya automatic.
kwanza in nature mm ni mbishi niliyetukuka na ninaongea juu ya hili KWA kuwa nishawahi lifanyia majaribio zaidi ya Mara 5 na kuwala watu Hera kwa kubishana.
nimeamua kulileta kwenu wataalamu tuweze kulidiscus kwa atakaye kubakiana na mm awe na sababu za kukubaliana na mm na atakaye pingana na mm awe na sababu za kupinga kuwa haiwezekani .
maswali ,ushauri na maoni yote ruksa.
ila nimestua KWA njia moja tuu .nikipata Gari ya kuvuta nitajaribu na kuhitimisha kwa kustua kwa njia ya pili mshana jr Chipukizi

Last edited by a moderator: