Kushtua gari ya automatic

Kushtua gari ya automatic

Mimi league za watu wafupi siziwezi ,wewe na ubishi wako umeshindwa kueleza unashtua vipi gari automatic kaja wa kueleza hilo haliwezekani mnasema hajui kujieleza ,labda ungesema maelezo yawe kwenye format ya CV

hahahaha mkuu ubishi unasaidia na ubishi huwa unasaidia pia kupanua uelewa naamini MTU mbishi akikuelezea mpaka ukaelewa na kukushindwa KWA hoja kwanza lazima atakuwa na hoja na uelewa wa hicho kitu zaidi yako wewe.hili suala nimelileta huku KWA wataalamu ili lijadiliwe kitaalamu na kwa hoja za kitaalamu pia.

huyo niliyemjibu hapo juu sijasema hawezi kujieleza Bali kaandika vitu vingi na sensor nyingi ambazo hufanya kazi kwenye engine kwaajili ya kuwasha Gari na zinatumika kwenye engine.

hapa kikubwa cha kujadili kwenye Gari automatic ni vipi tunaweza tukapata mzunguko wa engine kutoka kwenye flywheel kwa njia ya gearbox?? kupitia matairi?? ukifanikiwa hili lazima Gari itawaka KWA kuwa starter kwenye Gari kazi yake kubwa ni hiyo tuu na vile vile unapostua gari ya manually unacholitafuta au kifanya nikupata mzunguko WA engine kupitia kwenye tairi.

sibishani ili nishinde Bali tunaelekezana mkuu
 
LEGE sijui ulitakata kujiita Reggae!! yaonekana we ni mbishi toka utotoni ....

tueleze uliweza stua vipi..?
 
umejuaje mkuu kuwa mm nimfupi?? hapa hakuna ligi ya ubishi ligi ya ubishi ulikuwa huko ambako watu niliwaambia inawezekana na KWA kuwa niliwaeleza lakini bado walibisha ndio ikabidi tuwekeane kidau.
 
LEGE sijui ulitakata kujiita Reggae!! yaonekana we ni mbishi toka utotoni ....

tueleze uliweza stua vipi..?

mkuu soma maelezo yangu ya posti hizo hapo juu then rudi tena ukiwa umeyanote mawazo yangu then ndio tuendelee na mada yetu.mm sio mbishi aisee.sema wazo langu lilipingwa na wengi na ukitegemea kuna mafundi watu wazima ndio nilikuwa nabishana nao na wao ndio waka Fanya vijana wote wa gereji wawe upande wao kwa kuwa ni mafundi wao
 
hahahaha mkuu ubishi unasaidia na ubishi huwa unasaidia pia kupanua uelewa naamini MTU mbishi akikuelezea mpaka ukaelewa na kukushindwa KWA hoja kwanza lazima atakuwa na hoja na uelewa wa hicho kitu zaidi yako wewe.hili suala nimelileta huku KWA wataalamu ili lijadiliwe kitaalamu na kwa hoja za kitaalamu pia.

huyo niliyemjibu hapo juu sijasema hawezi kujieleza Bali kaandika vitu vingi na sensor nyingi ambazo hufanya kazi kwenye engine kwaajili ya kuwasha Gari na zinatumika kwenye engine.

hapa kikubwa cha kujadili kwenye Gari automatic ni vipi tunaweza tukapata mzunguko wa engine kutoka kwenye flywheel kwa njia ya gearbox?? kupitia matairi?? ukifanikiwa hili lazima Gari itawaka KWA kuwa starter kwenye Gari kazi yake kubwa ni hiyo tuu na vile vile unapostua gari ya manually unacholitafuta au kifanya nikupata mzunguko WA engine kupitia kwenye tairi.

sibishani ili nishinde Bali tunaelekezana mkuu

Haha sasa mkuu kwa elimu hii kwanini ulianza kwa ubishi ,kumbe wewe uliweza kushtua gari automatic umepata mzunguko kutoka kwenye flywheel kwa njia ya gearbox kupitia kwenye matairi ,basi tufahamishe na sisi tusiojua
 
umejuaje mkuu kuwa mm nimfupi?? hapa hakuna ligi ya ubishi ligi ya ubishi ulikuwa huko ambako watu niliwaambia inawezekana na KWA kuwa niliwaeleza lakini bado walibisha ndio ikabidi tuwekeane kidau.

Hahah kwani hujui asili ya ubishi mkuu alafu isitoshe nakufahamu fika
 
Kuna chombo kinaitwa battery buster. Unakicherge kwenye umeme kikiwa full unakitumia kuconnect kwenye battery yako.
Itawaka straight. Ila sina uhakika kama kinapatikana hapa nchini.
 
mkuu kila kitu huwa kinaanza kwa na hatua ya kwanza majaribio ya kwanza ili twende pamoja nitakapo kuwa na kwambia au kukushawishi kuwa Gari ya automatic inastulika ni hivi chukua Gari ya automatic iendeshe kwa speed mpaka ifike 80 or 60 izime kisha iache mpaka speed ifike kwenye 40 then weka switch ON uone kama Gari haita waka tena??.

wakati naanzisha hili watu walibishana sana na mm na kunidharau mwisho wa siku wao ndio wakawa wanajishangaa.

nilianza kuliwaza hili zamani sana wakati nafanyia wiring Gari 1 wakati nasumbuka kuiwasha baada ya kuifanyia wiring nilijikuta nimeiwasha Gari bila hata kuipiga starter baada yakugusa WAYA kwenye igniter na tester.

siku nyingine nikatumia njia hiyo kuiwasha Suzuki baada ya kuzima betri ilienda down.

wazo kuu nililipata baada ya kuwa nilikuwa nafungua gear box wakati nakata converter ukiweka P converter haizunguki ukiweka N linazunguka na Ukiweka kwenye gear inakuwa ngumu sana ukizungusha.kama utaweka D nakuizungusha tairi utaona kabisa ulemzunguko unaingia mpaka ndani ya gearbox hapo ndio wazo LA kujaribu kustua lilipo kuja.
kwakuwa nikajua nikiwaambia watu wanisukume tufanye majaribio hayo hakuna ambaye atakubali na nitaonekana mm hamnazo ikabidi nifanye majaribio hayo nikiwa peke yangu.

kwanza nilichukua Gari na kuiwasha na kuiendesha speed nikaizima kabisa nilipo weka tena on ikawaka kama kawaida.

jaribio LA pili nikaenda kwenye mteremko nikawasha Gari nikaweka D wakati naanza kushuka nikaizima kabisa nikashuka nayo wakati namaliza mteremko nika iweka ON ikawaka kama kawaida.

HEMBU JARIBUNI NA NYIE TUONE

Hivi kuweka ON si ndio kuwasha kwenyewe au?
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Sababu kubwa ni kuwa, auto tranny haina kiunganishi cha moja kwa moja kati ya engine na matairi (tranny), tofauti na ilivyo kwenye manual. Kwenye auto kinacho unganisha hivyo viwili ni torque converter ambayo huwa imejaa kimimnika (fluid). Engine inatakiwa ku run angalau kwenye idle ili iweze kutengeneza msukumo (kwenye torque converter) wa kufanya matairi (tranny) yazunguke.

Sasa kinyume chake, unapo sukuma gari hutengenezi msukumo wa kutosha kuzungusha torque converter hatimaye engine, kwa hiyo gari haiwezi kuwaka.
 
Wakuu kuna hiki kitu ukimuuliza MTU yoyote hata mafundi wazamani wakongwe ukimwambia suala LA kustua Gari ya automatic atakwambia haiwezekani kabisaa.ukimuuliza why na akupe sababu atakupa sababu za kawaida kabisa ambazo mm kwangu zinajibika na zinakuwa na njia mbadala na bado zinabaki kutozuia kustua Gari ya automatic.

kwanza in nature mm ni mbishi niliyetukuka na ninaongea juu ya hili KWA kuwa nishawahi lifanyia majaribio zaidi ya Mara 5 na kuwala watu Hera kwa kubishana.

nimeamua kulileta kwenu wataalamu tuweze kulidiscus kwa atakaye kubakiana na mm awe na sababu za kukubaliana na mm na atakaye pingana na mm awe na sababu za kupinga kuwa haiwezekani .

maswali ,ushauri na maoni yote ruksa.

ila nimestua KWA njia moja tuu .nikipata Gari ya kuvuta nitajaribu na kuhitimisha kwa kustua kwa njia ya pili

Kama wewe ni mbishi basi mbisha hata Syria hakuna vita.
 
Sababu kubwa ni kuwa, auto tranny haina kiunganishi cha moja kwa moja kati ya engine na matairi (tranny), tofauti na ilivyo kwenye manual. Kwenye auto kinacho unganisha hivyo viwili ni torque converter ambayo huwa imejaa kimimnika (fluid). Engine inatakiwa ku run angalau kwenye idle ili iweze kutengeneza msukumo (kwenye torque converter) wa kufanya matairi (tranny) yazunguke.

Sasa kinyume chake, unapo sukuma gari hutengenezi msukumo wa kutosha kuzungusha torque converter hatimaye engine, kwa hiyo gari haiwezi kuwaka.

labda nikuulize mkuu kwa nini ukiwasha Gari ya automatic kwenye gear inatembea kama kawaida?? hilo nalo naongelea kwa kuwa nimelifanya mm mwenyewe KWA mkono wangu nikiwa gereji mpaka nikagonga kwa kuwa Gari iliwakia kwenye gear niliwasha ikiwa kwenye D.

humbu tetea hoja yako kwa hili .na nishawahi fungua converter kwa kuweka D nakuzungusha matairi na converter ikawa inazunguka
 
Sasa wewe mleta mada unazungumzia kustua kwa aina hiyo? mimi nikajua gari haitaki kuwaka watu wanaisukuma weee halafu inawashwa kama vile magari manual yanavyofanywa,,,

mkuu hata hiyo inawezekana nimetoa mfano huo kwa kuwa unaweza kuujaribu hata wewe ukiwa na Gari yako lakini huh wakusukumwa utahitaji watu wengi waisukume Gari hapa nilipo now namalizia kuna Gari kutengeneza nipo mwenge kuna Suzuki natengeneza nikimaliza hapa nainda kufanya jaribio la kuistua KWA kuisukuma nitafanyia majaribio pale bondeni naiweka kwenye D naizima naiweka OFF harafu naiacha ishuke ikifika mpaka chini kbs naiweka switch ON lazima iwake.tuuu hata wewe ruksa nenda kajaribu tuu mkuu
 
huwezi stua gari ya automatik transmission caz gear engegement tofauti na manual,at trans inakaribu clatch plate zaidi ya moja alafu msaada mkubwa wa hiz plate ni haidrolic inayohitaji izungushwe na mzunguko mkubwa wa engine then ndani ya hiz geabox kuna valve ambazo kazi yake ni kurususu haidrolic kupita ambazo ufungukaji wake unahitaji control box. control box hiyo ndio ianyoruhusu gari kubadili gear na kukokotoa speed katika over drive vitu hivi vyote vinahitaji engine iliyo silence ili ihesabu mapigo ya gari kwa kutumia sensor za TPS, Mass air flow sensor , vacuum sensor, tempurature sensor na lakini sababu kuu zaidi inayopelekea gari ya at usiweze kustua ni mfumo wa hydrolic hii ndio drive ya gari . Kumbuka unaposukuma gari ya auto ukiwa umeweka d geabox itakuwa inazunguka ndani yenyewe huku top shaft hai haija oana na converter dah! sema mambo yenyewe ya kizungu, mimi haya magari ndio mwenyewe kabisaa.

hongera ni pm namba yakovya cm unisaidie kitu
 
labda nikuulize mkuu kwa nini ukiwasha Gari ya automatic kwenye gear inatembea kama kawaida?? hilo nalo naongelea kwa kuwa nimelifanya mm mwenyewe KWA mkono wangu nikiwa gereji mpaka nikagonga kwa kuwa Gari iliwakia kwenye gear niliwasha ikiwa kwenye D.
For safety reasons gari inatakiwa kuwaka ikiwa kwenye Neutral au Park kama yako imewaka kwengine basi inamatatizo.

humbu tetea hoja yako kwa hili .na nishawahi fungua converter kwa kuweka D nakuzungusha matairi na converter ikawa inazunguka
Converter gani unayoiongelea?
 
For safety reasons gari inatakiwa kuwaka ikiwa kwenye Neutral au Park kama yako imewaka kwengine basi inamatatizo.

Converter gani unayoiongelea?

yap mkuu hiyo Gari nilikuwa nimeiweka direct selector ilikuwa mbovu.

converter linalokuwa kwenye gear box mkuu
 
nishawahi fungua converter kwa kuweka D nakuzungusha matairi na converter ikawa inazunguka
Unapokuwa umeinyanyua gari (matairi hewani) ni rahisi kuzungusha tranny kwa kutumia TC kwasababu, unakuwa umeondoa uzito wa gari.
 
Back
Top Bottom