Kushtua gari ya automatic

Kushtua gari ya automatic

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,209
Wakuu kuna hiki kitu ukimuuliza MTU yoyote hata mafundi wazamani wakongwe ukimwambia suala LA kustua Gari ya automatic atakwambia haiwezekani kabisaa.ukimuuliza why na akupe sababu atakupa sababu za kawaida kabisa ambazo mm kwangu zinajibika na zinakuwa na njia mbadala na bado zinabaki kutozuia kustua Gari ya automatic.

kwanza in nature mm ni mbishi niliyetukuka na ninaongea juu ya hili KWA kuwa nishawahi lifanyia majaribio zaidi ya Mara 5 na kuwala watu Hera kwa kubishana.

nimeamua kulileta kwenu wataalamu tuweze kulidiscus kwa atakaye kubakiana na mm awe na sababu za kukubaliana na mm na atakaye pingana na mm awe na sababu za kupinga kuwa haiwezekani .

maswali ,ushauri na maoni yote ruksa.

ila nimestua KWA njia moja tuu .nikipata Gari ya kuvuta nitajaribu na kuhitimisha kwa kustua kwa njia ya pili mshana jr Chipukizi
 
Last edited by a moderator:
huwezi stua gari ya automatik transmission caz gear engegement tofauti na manual,at trans inakaribu clatch plate zaidi ya moja alafu msaada mkubwa wa hiz plate ni haidrolic inayohitaji izungushwe na mzunguko mkubwa wa engine then ndani ya hiz geabox kuna valve ambazo kazi yake ni kurususu haidrolic kupita ambazo ufungukaji wake unahitaji control box. control box hiyo ndio ianyoruhusu gari kubadili gear na kukokotoa speed katika over drive vitu hivi vyote vinahitaji engine iliyo silence ili ihesabu mapigo ya gari kwa kutumia sensor za TPS, Mass air flow sensor , vacuum sensor, tempurature sensor na lakini sababu kuu zaidi inayopelekea gari ya at usiweze kustua ni mfumo wa hydrolic hii ndio drive ya gari . Kumbuka unaposukuma gari ya auto ukiwa umeweka d geabox itakuwa inazunguka ndani yenyewe huku top shaft hai haija oana na converter dah! sema mambo yenyewe ya kizungu, mimi haya magari ndio mwenyewe kabisaa.
 
Mkuu LEGE Uliwezaje kuistua gari?? embu tupe darasa kama sijakuelewa vibaya
 
Wewe ni mtaalam ila kujieleza ndio hujui
 
Wakuu kuna hiki kitu ukimuuliza MTU yoyote hata mafundi wazamani wakongwe ukimwambia suala LA kustua Gari ya automatic atakwambia haiwezekani kabisaa.ukimuuliza why na akupe sababu atakupa sababu za kawaida kabisa ambazo mm kwangu zinajibika na zinakuwa na njia mbadala na bado zinabaki kutozuia kustua Gari ya automatic.

kwanza in nature mm ni mbishi niliyetukuka na ninaongea juu ya hili KWA kuwa nishawahi lifanyia majaribio zaidi ya Mara 5 na kuwala watu Hera kwa kubishana.

nimeamua kulileta kwenu wataalamu tuweze kulidiscus kwa atakaye kubakiana na mm awe na sababu za kukubaliana na mm na atakaye pingana na mm awe na sababu za kupinga kuwa haiwezekani .

maswali ,ushauri na maoni yote ruksa.

ila nimestua KWA njia moja tuu .nikipata Gari ya kuvuta nitajaribu na kuhitimisha kwa kustua kwa njia ya pili

Kweli wewe ni mbishi. Sasa kama umeshafanikiwa mara tano si uweke hayo maujuzi hapa ili watu wafaidike badala ya kuanzisha ligi ya ubishi?
 
huwezi stua gari ya automatik transmission caz gear engegement tofauti na manual,at trans inakaribu clatch plate zaidi ya moja alafu msaada mkubwa wa hiz plate ni haidrolic inayohitaji izungushwe na mzunguko mkubwa wa engine then ndani ya hiz geabox kuna valve ambazo kazi yake ni kurususu haidrolic kupita ambazo ufungukaji wake unahitaji control box. control box hiyo ndio ianyoruhusu gari kubadili gear na kukokotoa speed katika over drive vitu hivi vyote vinahitaji engine iliyo silence ili ihesabu mapigo ya gari kwa kutumia sensor za TPS, Mass air flow sensor , vacuum sensor, tempurature sensor na lakini sababu kuu zaidi inayopelekea gari ya at usiweze kustua ni mfumo wa hydrolic hii ndio drive ya gari . Kumbuka unaposukuma gari ya auto ukiwa umeweka d geabox itakuwa inazunguka ndani yenyewe huku top shaft hai haija oana na converter dah! sema mambo yenyewe ya kizungu, mimi haya magari ndio mwenyewe kabisaa.

mkuu hizo zingine ni mbwembwe tuu sijui TPS valve control box kwenye kustua Gari hizo ni chachandu kwenye chipsi.

main point yetu kubwa ni kuwa tutawezaje pata mzunguko wa flywheel?? hizo sensor ulizozitaja wewe hata zisipokuwepo Gari lazima itawaka tuu.kikubwa hapa ni crank shaft na camshaft sensor tu zipitiwe na mzunguko ili ziweze toa signal.

kabla hatujafika mbali kama wewe kweli ni mtaalam soon utahamia upande wangu.

ukiwa unaendesha Gari ukaizima na kuiweka OFF huku gear bado ikiwa kwenye D 2 or L nagari ikawa bado inaendelea kutembea engine itasimama au itaendelea kuzunguka??.mtaalam naomba ujibu hilo swali ndipo kwenye msingi na mzizi wakustua Gari hapo.

harafu hayo ya gear sijui huendeshwa na vavle na hydrolic ni mbwembwe tuu sisi tunataka kupata mzunguko wa flywheel tuu ili Gari iweze kuwaka.

converter unapoliingiza kwenye gearbox huwa linaingia Mara 2 ile ya pili ya mwisho huwa ni kwaajili ya pump ya hydrolic hivyo ukizungusha tuu engine pump ya hydrolic nayo inazunguka pia.na kinachofanya Gari iweze kuondoka ukiweka gear ni kitendo cha kuruhusu hydrolic iingie kwenye diaphram na kuoparete clutch za gear husika na Gari inatembea.

mfano chukua Gari iendeshe mpaka ifike speed 80 or 60 harafu izime nauiache itembwe mpaka km I drop na kufika mpaka kwenye 40 or 20 then weka switch on uone kama Gari itawaka au haita waka ikiwaka ndio ujiulize maswali kwanini imewaka?? wakati ni automatic??

lengo LA kuiweka switch on ikiwa katika speed ndogo nikuepuka uharibifu kwenye gearbox maana speed hiyo ya 20 40 ni gear namba 1 or 2 .

MAGARI ambayo tulijaribu nayo wakati tunacheza kamali ya ubishi ni verosa ,gx100 ,Suzuki,Prado ,BMW, RAV 4,hilux D4D.

KWA kuwa MAGARI mnayo kajaribuni mkipata majibu njooni tena tuendeleze maada yetu.

USISEME TUU HAIWEZEKANI KWAJILI UMEAMBIWA HAIWEZEKANI JIULIZE KWA NN HAIWEZEKANI BAADA YA KUAMBIWA HAIWEZEKANI.
 
Kweli wewe ni mbishi. Sasa kama umeshafanikiwa mara tano si uweke hayo maujuzi hapa ili watu wafaidike badala ya kuanzisha ligi ya ubishi?

mkuu kila kitu huwa kinaanza kwa na hatua ya kwanza majaribio ya kwanza ili twende pamoja nitakapo kuwa na kwambia au kukushawishi kuwa Gari ya automatic inastulika ni hivi chukua Gari ya automatic iendeshe kwa speed mpaka ifike 80 or 60 izime kisha iache mpaka speed ifike kwenye 40 then weka switch ON uone kama Gari haita waka tena??.

wakati naanzisha hili watu walibishana sana na mm na kunidharau mwisho wa siku wao ndio wakawa wanajishangaa.

nilianza kuliwaza hili zamani sana wakati nafanyia wiring Gari 1 wakati nasumbuka kuiwasha baada ya kuifanyia wiring nilijikuta nimeiwasha Gari bila hata kuipiga starter baada yakugusa WAYA kwenye igniter na tester.

siku nyingine nikatumia njia hiyo kuiwasha Suzuki baada ya kuzima betri ilienda down.

wazo kuu nililipata baada ya kuwa nilikuwa nafungua gear box wakati nakata converter ukiweka P converter haizunguki ukiweka N linazunguka na Ukiweka kwenye gear inakuwa ngumu sana ukizungusha.kama utaweka D nakuizungusha tairi utaona kabisa ulemzunguko unaingia mpaka ndani ya gearbox hapo ndio wazo LA kujaribu kustua lilipo kuja.
kwakuwa nikajua nikiwaambia watu wanisukume tufanye majaribio hayo hakuna ambaye atakubali na nitaonekana mm hamnazo ikabidi nifanye majaribio hayo nikiwa peke yangu.

kwanza nilichukua Gari na kuiwasha na kuiendesha speed nikaizima kabisa nilipo weka tena on ikawaka kama kawaida.

jaribio LA pili nikaenda kwenye mteremko nikawasha Gari nikaweka D wakati naanza kushuka nikaizima kabisa nikashuka nayo wakati namaliza mteremko nika iweka ON ikawaka kama kawaida.

HEMBU JARIBUNI NA NYIE TUONE
 
Hii nchi hii hebu msaidie kujieleza ,

hawezi ndio maana kaishia hapo Fanya wewe msaada basi wakumalizia maana utakuwa umepiga ndege wawili KWA jiwe 1
 
Mimi league za watu wafupi siziwezi ,wewe na ubishi wako umeshindwa kueleza unashtua vipi gari automatic kaja wa kueleza hilo haliwezekani mnasema hajui kujieleza ,labda ungesema maelezo yawe kwenye format ya CV
 
Hongera sana kwa kuwa curious mkuu. Unaweza kurekebisha matatizo ya miss na low power kwenye Engine ya GDI?
 
Una bahati sana kitufe cha like hakuna, umeongea kwa weledi

huwezi stua gari ya automatik transmission caz gear engegement tofauti na manual,at trans inakaribu clatch plate zaidi ya moja alafu msaada mkubwa wa hiz plate ni haidrolic inayohitaji izungushwe na mzunguko mkubwa wa engine then ndani ya hiz geabox kuna valve ambazo kazi yake ni kurususu haidrolic kupita ambazo ufungukaji wake unahitaji control box. control box hiyo ndio ianyoruhusu gari kubadili gear na kukokotoa speed katika over drive vitu hivi vyote vinahitaji engine iliyo silence ili ihesabu mapigo ya gari kwa kutumia sensor za TPS, Mass air flow sensor , vacuum sensor, tempurature sensor na lakini sababu kuu zaidi inayopelekea gari ya at usiweze kustua ni mfumo wa hydrolic hii ndio drive ya gari . Kumbuka unaposukuma gari ya auto ukiwa umeweka d geabox itakuwa inazunguka ndani yenyewe huku top shaft hai haija oana na converter dah! sema mambo yenyewe ya kizungu, mimi haya magari ndio mwenyewe kabisaa.
 
Mkuu LEGE hiv gari ya automatic ikiwa inaenda unaweza kuweka switch off ikakubali au funguo huwa unakataa kurudi?? Halafu kama inawezekana unawezaje kuzima gari ikiwa D then hiyo gari inaendelea kwenda bila kuweka neutral...??
 
mkuu inawezekana kabisaaa hiyo kitu naongea kama fundi UMEME MWENYE ujuzi kidogo sio ulio tukuka na kajiuelewa kidogo kwenye gearbox za automatic.

ni kwamba Gari ikiwa inatembea unaweza ukaweka off na ikazima na ikawa inaendelea kutembea sema huwezi kutoa ufunguo na kabisa ninapisema off inamaana ukaizima Gari kule mwisho kabisa funguo haiwezi kufika mpaka gear uweke kwenye P ndio unaweza kutoa ufunguo kabisa.
suala LA brake kwenye Gari za automatic ni kama clutch kwenye Gari za manually .

kila unapo hamisha gear kutoka sehem 1 mpaka nyingine lazima ukanyage gear ili kuzuia uharibifu ndani ya gearbox mfano ulikuwa unarudi nyuma unapotaka kwenda mbele lazima ukanyage brake ili Gari isimame kabisa ndipo uweke gear ya kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom