LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
- Thread starter
-
- #21
Mimi league za watu wafupi siziwezi ,wewe na ubishi wako umeshindwa kueleza unashtua vipi gari automatic kaja wa kueleza hilo haliwezekani mnasema hajui kujieleza ,labda ungesema maelezo yawe kwenye format ya CV
hahahaha mkuu ubishi unasaidia na ubishi huwa unasaidia pia kupanua uelewa naamini MTU mbishi akikuelezea mpaka ukaelewa na kukushindwa KWA hoja kwanza lazima atakuwa na hoja na uelewa wa hicho kitu zaidi yako wewe.hili suala nimelileta huku KWA wataalamu ili lijadiliwe kitaalamu na kwa hoja za kitaalamu pia.
huyo niliyemjibu hapo juu sijasema hawezi kujieleza Bali kaandika vitu vingi na sensor nyingi ambazo hufanya kazi kwenye engine kwaajili ya kuwasha Gari na zinatumika kwenye engine.
hapa kikubwa cha kujadili kwenye Gari automatic ni vipi tunaweza tukapata mzunguko wa engine kutoka kwenye flywheel kwa njia ya gearbox?? kupitia matairi?? ukifanikiwa hili lazima Gari itawaka KWA kuwa starter kwenye Gari kazi yake kubwa ni hiyo tuu na vile vile unapostua gari ya manually unacholitafuta au kifanya nikupata mzunguko WA engine kupitia kwenye tairi.
sibishani ili nishinde Bali tunaelekezana mkuu