Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Hiyo issue ya wiring mimi ndio early career yangu na bado nipo ktk hiyo fan na engine na gearbox humo mote natembea ila uzi wako uliuleta ktk mazingira ya kiubishi.
labda nikuulize mkuu kwa nini ukiwasha Gari ya automatic kwenye gear inatembea kama kawaida?? hilo nalo naongelea kwa kuwa nimelifanya mm mwenyewe KWA mkono wangu nikiwa gereji mpaka nikagonga kwa kuwa Gari iliwakia kwenye gear niliwasha ikiwa kwenye D.
humbu tetea hoja yako kwa hili .na nishawahi fungua converter kwa kuweka D nakuzungusha matairi na converter ikawa inazunguka
Mkuu, yaonekana ulikuwa katika manual car, yaani automatic ipo katika D kisha ukiwasha iwake? Apo kidogo tuache tupumue.... Inapokuwa katika D, ufunguo mpaka uzungishe mpaka uukate basi gari haiwaki. Usitudanganye kabisaaa.

Atuambie aina ya gari
Labda iwe made in Tz..... Asitupakie bureeee.... Gari uwashe kwenye D? Mi aweke dau na huo ubishi wake aniwashie yangu kwenye D....
Mkuu, yaonekana ulikuwa katika manual car, yaani automatic ipo katika D kisha ukiwasha iwake? Apo kidogo tuache tupumue.... Inapokuwa katika D, ufunguo mpaka uzungishe mpaka uukate basi gari haiwaki. Usitudanganye kabisaaa.
yap mm ni FUNDI UMEME lakini hata gear box za automatic nabomoa sana tuuu