Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislam ni mwema sana.Habari zenu wanaJF. Natumai wote ni wazima.
Mara kadhaa nimejikuta nashtuka usiku wa saa 7 au saa 8 usiku na usingizi kukata kabisa, inaweza kunichukua hata lisaa kupata usingizi tena.
Nimejaribu kuuliza hiki kitu kwa watu wa karibu wengine wanasema ni stress za maisha, wengine sina ela ntafute ela, wengine presha lakini me binafsi sina stress na kiafya hata kiuchumi niko vizuri.
Shida itakua nini sasa na kwa nini hii hali hutokea yani kwa mwezi lazima inikute mara 4 au 5 kwa wenye kujua hii hali tujuzane tafadhali.
Ilikuaje kuajeHaha nakumbuka nilishika makaburi ya wazee wa zamani. Usiku wake kila ikifuka saa saba usingizi unakata kama nimeshtuliwa , silali moaka morning
Hii hali ilienda wiki nzima nikaona hapa naelekea kufa. All week nalala one hour, kumweleza mzee mmoja akaniambia chinja mbuzi itakaa sawa
Nikanunua mbuzi wawili mmoja dume laki 2, jikw laki na nusu. Zikachinjwa usiku kweli nikalala
Toka siku hiyo mpaka Leo six years has passed sijarudi kwenye ule mji.
Nilienda kutembelea mji mkubwa ambapo babu yangu alizaliwa.Ilikuaje kuaje