Kushuka bei kwa simu za oppo kariakoo shida nini?

Kushuka bei kwa simu za oppo kariakoo shida nini?

Ads? Unaweza kuzidisable. Kama Kuna app zinakuletea ads unaweza pia kuzizuia kutumia internet. Ni kitu cha dakika 2 tu na hutoona tena ads
Hizi ads ni za Xiomi ambazo zinatokea kwenye UI yao sio kwenye Apps.

Siwezi kuamini kampuni inayoweka ads kwenye UI disable or not, hata hiyo option ya kudisable wanaweza kuamua kuifuta.
 
habari zenu wana JF, hivi karibuni nimeshuhudia poromosheni kubwa ya simu za kampuni ya oppo hasa zile za A series , unakuta internal storage 128, RAM 6, Qualcomm and octa core processor , ambapo simu zenye specifications hizo ziliuzwa bei kubwa sana lakini sasa zinauzwa 95,0000 hadi 100,000 je tatizo nini na kuna mapungufu gani katika simu hizo? Kwa wataalamu tujuzeni tuelewe.

Natanguliza shukrani zenu wakuu uzi utembee huu
izo simu walikuwa anachukuwa dubai wamezifungua kwaiyo huku kwetu tz hazi support baadhi ya app
 
Dimensity 6080 ni soc ya kizamani kweli imekuwa tu rebranded na 7S imetengenezwa na Samsung node, haiwezi fikia Tsmc 4nm, zote core zake sio as Efficient as D7200.

Pia Ukumbuke mkuu D7200 ina core 2 tu kubwa na core 6 ndogo in theory ilitakiwa iwe top kwenye ukaaji chaji. So kupitwa na 7 gen 3 in thoery haimake sense na inaonesha jinsi gani Qualcomm walivyo I optimize.

Hebu chukua Poco X6 pro mkuu ambayo bado ni rahisi kuliko hio redmi note 13 pro+

1. Kama nilivyoeka juu inakaa na Chaji zaidi
2. Dimensity 8300 is way powerfull zaidi ya mara 2 ya Dimensity 7200
3. Poco X6 pro inatumia ufs 4.0 very fast storage itakua smooth day to day compare na
4. Simu zote mbili zinatumia display moja
5. Tu assume Poco X6 pro camera yake ina lose kwa 13p+

Is worth it kulipia 13P+ for slightly better camera na ku ignore mambo mengine?
Nilichukua Poco X6 Pro 12GB/512GB aisee nainjoi sana kuitumia. Ipo fast and smooth standard sana.

Camera yake kibongobongo pia ni kali, ingawa ina unjano sana. Infrared inanipa raha sana kupair devices kama TV, AC, dekoda nk, halafu Xiaomi wanyama sana, yaani unaweza Pair TV hata kama imezimwa.

Badala ya home kukaa na lundo la remotes, wewe unakaa na simu yako tu ila ina-control devices zako zote.

Sema tu nimeshindwa kuhamisha whatsapp, kila nikijaribu kutansfer sipati bar code ya kuscan, whatsapp inajisajili upya wakati mimi nataka kutransfer chats, sijui nakosea wapi? Reuben Challe kama unajua namna ya kutransfer chats whatsapp nielekeze, maana kwa sasa nalazimika kutumia simu mbili
 
Backup kwenye google account ni rahisi zaidi then baadae restore kwenye simu mpya.

Alternative unaweza manual kuzihamisha sema siku hizi zipo Folder la android baadhi ya simu zinazingua kuzi access.
 
Backup kwenye google account ni rahisi zaidi then baadae restore kwenye simu mpya.

Alternative unaweza manual kuzihamisha sema siku hizi zipo Folder la android baadhi ya simu zinazingua kuzi access.
Ndio aisee, nimejaribu kulifuata folder naona wameweka restrictions. Bahati mbaya google account ilijaa mapema hivyo hakuna back up iliyokuwa inafanyika.

Ngoja niendelee kupambana na transfer nione kama itakubali. Sema Telegram wanyama sana, wewe ukiweka account tu kila kitu kinahama, unavipata vilevile vilivyokua
 
Mi whatsapp backup natumia separate email.

Fungua google account nyengine halafu tumia kufanya backup.
 
Back
Top Bottom