Mkuu nadhani kinachofanya uone Redmi Note 13 Pro+ hamna kitu ni kwa sababu unaangalia sana performance kuliko vitu vingine
Kwa matumizi ya Watanzania wengi AnTuTu score ya 600000 inawatosha kabisa kwa sababu wengi wao sio real heavy gamers kama Wahindi so 600000 score inawatosha wengi sana
Kwa matumizi ya Watanzania wengi vitu ambavyo vina make sense kwenye simu ni display, camera, speakers and just an okay performance na Redmi Note 13 Pro Plus imetimia kote huko
Mfano simu za Poco unaweza kuta ina performance kubwa sana kuliko Redmi za bei sawa Ila inapokuja kwenye camera unakuta wanazingua, so kwa Mtanzania atakuwa disappointed licha ya kupata performance ya more than 900K AnTuTu score, shida ni camera
That's why I think Redmi Note 13 Pro+ ni simu ambayo Watanzania wengi watafurahi kuitumia kuliko Poco F5 licha ya gap kubwa kwenye performance. Wengi hawana matumizi ya kuhitaji such powerful processors on Poco phones ila wengi wanayo matumizi ya kuhitaji such powerful cameras and displays on Redmi phones.
Plus Poco phones kuzipata Bongo ni mtihani
Kumbuka Samsung Galaxy A54 ilipendwa sana licha ya kuuzwa kwa laki 9 na performance ilikuwa very average ila cameras, display, etc viliteka mioyo ya wengi
Mi naona hivyo
View attachment 2954681