Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Mkuu Redmi mpaka 10 series zilikuwa vizuri sana, nadra kukuta ambayo specs zake ni mbaya kwa bei.Na redmi je zenye storage kubwa ?
Ila kuanzia redmi 11 series walianza na wao kutoa simu nyingiii na nyengine zikawa hazina value for money.
So ushauri angalia redmi husika kwanza na bei unayo nunua. Hasa huku kwetu Tanzania ambazo zinauzwa bei kubwa kuliko bei wanayotangaza Xiaomi wenyewe.