Kushuka bei kwa simu za oppo kariakoo shida nini?

Ads? Unaweza kuzidisable. Kama Kuna app zinakuletea ads unaweza pia kuzizuia kutumia internet. Ni kitu cha dakika 2 tu na hutoona tena ads
Hizi ads ni za Xiomi ambazo zinatokea kwenye UI yao sio kwenye Apps.

Siwezi kuamini kampuni inayoweka ads kwenye UI disable or not, hata hiyo option ya kudisable wanaweza kuamua kuifuta.
 
izo simu walikuwa anachukuwa dubai wamezifungua kwaiyo huku kwetu tz hazi support baadhi ya app
 
Nilichukua Poco X6 Pro 12GB/512GB aisee nainjoi sana kuitumia. Ipo fast and smooth standard sana.

Camera yake kibongobongo pia ni kali, ingawa ina unjano sana. Infrared inanipa raha sana kupair devices kama TV, AC, dekoda nk, halafu Xiaomi wanyama sana, yaani unaweza Pair TV hata kama imezimwa.

Badala ya home kukaa na lundo la remotes, wewe unakaa na simu yako tu ila ina-control devices zako zote.


Sema tu nimeshindwa kuhamisha whatsapp, kila nikijaribu kutansfer sipati bar code ya kuscan, whatsapp inajisajili upya wakati mimi nataka kutransfer chats, sijui nakosea wapi? Reuben Challe kama unajua namna ya kutransfer chats whatsapp nielekeze, maana kwa sasa nalazimika kutumia simu mbili
 
Backup kwenye google account ni rahisi zaidi then baadae restore kwenye simu mpya.

Alternative unaweza manual kuzihamisha sema siku hizi zipo Folder la android baadhi ya simu zinazingua kuzi access.
 
Backup kwenye google account ni rahisi zaidi then baadae restore kwenye simu mpya.

Alternative unaweza manual kuzihamisha sema siku hizi zipo Folder la android baadhi ya simu zinazingua kuzi access.
Ndio aisee, nimejaribu kulifuata folder naona wameweka restrictions. Bahati mbaya google account ilijaa mapema hivyo hakuna back up iliyokuwa inafanyika.

Ngoja niendelee kupambana na transfer nione kama itakubali. Sema Telegram wanyama sana, wewe ukiweka account tu kila kitu kinahama, unavipata vilevile vilivyokua
 
Mi whatsapp backup natumia separate email.

Fungua google account nyengine halafu tumia kufanya backup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…