Cleverman324
JF-Expert Member
- Nov 17, 2018
- 389
- 631
Wasalaam wadau..nimezunguka sana kusini mwa dar hasa mbagala na vitongoji vyake, vikindu mpaka kisemvule...kwa kweli Kuna watu wengine mno na maisha yanaenda mchakamchaka Ila kwenye masuala ya huduma mbalimbali wapo very poor.kifupi hakuna jambo lolote utakalofanya lenye kuhusisha mtu mwengine likaenda smart Hawa watu sijui ni tofauti na watu wa maeneo mengine??.
Nikijikita kwenye biashara ndio usiseme wapo zero kabisa Wana mazoea sana...hawathamini Ile thamaani ya wanachokifanya..huduma za chakula ni sifuri kabisa Yani mtu ukitaka Kuna chakula Cha tofauti na nyumbani kwako lazma ushike uelekeo wa kigamboni.huwezi PATA sehemu nzuri ukala ama uka chill na familia.huduma za usafiri wapo local sana hata bolt hamna.hata huduma za kifedha ni shida..nilikuwa bank ya crd** mjini nimehudimiwa vizuri tu Ila tawi lao LA kule ni laana tupu...nini kifanyike kuwabadilisha Hawa watu namba ya kufikiri????