Kusini mwa Dar es Salaam ni uozo

Kusini mwa Dar es Salaam ni uozo

Yes kaka hapa nimebaki na watoto wife kasafiri..nimezurura na watoto kutafta sehemu tule.nimechoka hoi madogo wamelala kwa njaa.hapa nipo kijichi nafakamia chips.pumbavu
Kijichi unaishi sehem Gani? Mbona kijichi hata goba na kunduchi ni uswahilin kuliko kijichi?.
 
Niliagiza ugali Dona na nyama pale Zakhem, cha ajabu nililetewa Sembe na mboga iliyopoa kabisa.

Kuuliza nikaambiwa dona limeisha. Nikauliza kuhusu mboga baridi nikajibiwa kwa ukali "kaka siyo lazima ule" nikajibu silipi basi nikaambiwa "weee utalipa"
Haswaaaa ndio zao
 
Unataka kupanga au kununua? Miande Kuna nyumba za wazito Kule. Kuna wauza madini wengi sana Kule wana mahekalu. Ridhwani naye ana mjengo wake Kule... Usichukulie poa Kona zile mkuu
Nataka kununua kiwanja kijichi.hasa miande ,chekechea ,au neluka kwa jokete
 
Bila shaka ww cyo mwenyeji wa jiji hilo.
Inawezekana umehamia hv karibuni.
Kwa wakazi wa muda mrf hapo Dar wanaijua status ya Mbagala na watu wake
Mzee mm nimezaliwa na kukulia temeke sokota kipindi hicho sokota Kuna mikorosho na mabonde ya mpunga.kipindi uda na mabus ya m sleeping tupo mjini.we mwenzangu mjini lini
 
Wasalaam wadau..nimezunguka sana kusini mwa dar hasa mbagala na vitongoji vyake, vikindu mpaka kisemvule...kwa kweli Kuna watu wengine mno na maisha yanaenda mchakamchaka Ila kwenye masuala ya huduma mbalimbali wapo very poor.kifupi hakuna jambo lolote utakalofanya lenye kuhusisha mtu mwengine likaenda smart Hawa watu sijui ni tofauti na watu wa maeneo mengine??.
Nikijikita kwenye biashara ndio usiseme wapo zero kabisa Wana mazoea sana...hawathamini Ile thamaani ya wanachokifanya..huduma za chakula ni sifuri kabisa Yani mtu ukitaka Kuna chakula Cha tofauti na nyumbani kwako lazma ushike uelekeo wa kigamboni.huwezi PATA sehemu nzuri ukala ama uka chill na familia.huduma za usafiri wapo local sana hata bolt hamna.hata huduma za kifedha ni shida..nilikuwa bank ya crd** mjini nimehudimiwa vizuri tu Ila tawi lao LA kule ni laana tupu...nini kifanyike kuwabadilisha Hawa watu namba ya kufikiri????
Bolt na uber mwisho mbagala, Vikindu ni Pwani na huduma ni mbovu sana.

Vikindu sehemu yao ya kujirusha ni Ikweta tu.

Kisemvuli ni bure kabisa, Mkurunga nako ni hovyo kabisa
 
Kuanzia mbagala mkuu kushuka mpaka maeneo hayo ni kichefchef tu
Mkuu ulikuwa unatafuta kitu gani?
Kuhusu swala la huduma za kifedha hata ukianzia buguruni mpaka Ubungo Kuna benki moja au 2 kwa main road ya Mandela.

Kwa main road hiyo hiyo hakuna kiwanja kizuri Cha bia kwa main road. Sema upewe location maana vitu vizuri haviwi barabarani vinakuwa kwenye machimbo.

Kumalizia DSM inaishia kongowe ukikunja kwenda kigamboni.
Upande wa kushoto ni dsm upande wa kulia ni Pwani.
 
Mkuu ulikuwa unatafuta kitu gani?
Kuhusu swala la huduma za kifedha hata ukianzia buguruni mpaka Ubungo Kuna benki moja au 2 kwa main road ya Mandela.

Kwa main road hiyo hiyo hakuna kiwanja kizuri Cha bia kwa main road. Sema upewe location maana vitu vizuri haviwi barabarani vinakuwa kwenye machimbo.

Kumalizia DSM inaishia kongowe ukikunja kwenda kigamboni.
Upande wa kushoto ni dsm upande wa kulia ni Pwani.
Wazee wa viwanja mmewasili😂😂😂
 
Back
Top Bottom