Najuta kununua eneo huku..my bro niliekupa hela unijengee dar ukaja kunijengea huku jua tu ss ni pipo
Aiseee umenikumbusha, kuna jamaa tuliwasiliana naye kwamba ana viwanja maeneo ya kuvuka mbagala sijui wapi huko. Basi tukawa tumewasiliana vizuri na siku hiyo nikapanda gari nikaenda, ile kufika mbagala bhanaa na kutathmini mazingira ya pale yaani mzuka wote ukaisha nikageuza zangu na dili likaishia hapo.