byakunu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 583
- 1,318
Sehem zpo nying sana za kukaaa na familia. Labda ww ndio maeneo huyajui. Mfano Dar live, Kurasini Pub, Kiburugwa in etc.
N dhambi sana kujiona bora kwa ajil ya makazi
Unakaaje na familia kurasin pub na kiburugwa in? Si bora uende Kingazi kijichi tutakuelewa?