Hii sio case ya watu namna ya kufikiri, bali ni case ya serikali na utengenezaji wa miundombinu bora ya makazi na huduma nyingine.
Wananchi hawana nguvu ya kubadilisha chochote sababu wao ni waongozwaji tu. Huo ni wajibu wa serikali sababu yenyewe ndio yenye power ya kuleta mabadiliko.
The fact that unawasingizia wananchi badala ya serikali ni kuexpose uwezo wako wa akili dhidi ya hao watu.
Marekani haipo pale sababu ya wananchi million 300 bali sababu ya viongozi na serikali ambao ni less than 0.5% ya population nzima.
Alafu mkuu, jifunze kuandika.