Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ni pwani siyo DarWasalaam wadau..nimezunguka sana kusini mwa dar hasa mbagala na vitongoji vyake, vikindu mpaka kisemvule...kwa kweli Kuna watu wengine mno na maisha yanaenda mchakamchaka Ila kwenye masuala ya huduma mbalimbali wapo very poor.kifupi hakuna jambo lolote utakalofanya lenye kuhusisha mtu mwengine likaenda smart Hawa watu sijui ni tofauti na watu wa maeneo mengine??.
Nikijikita kwenye biashara ndio usiseme wapo zero kabisa Wana mazoea sana...hawathamini Ile thamaani ya wanachokifanya..huduma za chakula ni sifuri kabisa Yani mtu ukitaka Kuna chakula Cha tofauti na nyumbani kwako lazma ushike uelekeo wa kigamboni.huwezi PATA sehemu nzuri ukala ama uka chill na familia.huduma za usafiri wapo local sana hata bolt hamna.hata huduma za kifedha ni shida..nilikuwa bank ya crd** mjini nimehudimiwa vizuri tu Ila tawi lao LA kule ni laana tupu...nini kifanyike kuwabadilisha Hawa watu namba ya kufikiri????
Ndio kote huko usengeniHuko ni pwani siyo Dar
Makukula wa kitimoto yupo pale lizaboniHii mada Mimi wa mfaranyaki ,Songea hainihusu.
Jumapili njema.
Usiseme vyakula sema supu ya ngozi,miguu ya kuku na utumbo wake mishaki ya paka na kachoriBiashara za huko ni vyakula na nguo za mitumba na vijora,huko kuna hadi sukari ya 200[emoji28][emoji28]
Najuta kununua eneo huku..my bro niliekupa hela unijengee dar ukaja kunijengea huku jua tu ss ni pipoNdio kote huko usengeni
Usiseme vyakula sema supu ya ngozi,miguu ya kuku na utumbo wake mishaki ya paka na kachori
Najuta kununua eneo huku..my bro niliekupa hela unijengee dar ukaja kunijengea huku jua tu ss ni pipo
Sawa mm nataka viatu vifatavyo..car wash nzuri...mgahawa mzuri.. sehemu nzuri ya kucheza watoto..maduka mazuri yenye bidhaa quality na usafiri wa uhakika....Mbona kuna maeneo mazuri sana vikindu,malela na kisemvule ambayo hayana uswahili.
Sawa mm nataka viatu vifatavyo..car wash nzuri...mgahawa mzuri.. sehemu nzuri ya kucheza watoto..maduka mazuri yenye bidhaa quality na usafiri wa uhakika....
Ndio huko napoendaga.au kijichi...sasa saa nzingine inabidi nijisindilie mikate tu Mana nikiwa nimechoka siwez kwenda huko.madogo nawafungia ndani kama mazezetaMkuu kwa sasa mitaa hiyo hizo huduma hupati nende kigamboni[emoji28].
na fundi nilikua mimiNajuta kununua eneo huku..my bro niliekupa hela unijengee dar ukaja kunijengea huku jua tu ss ni pipo
kuna mchomngo nausikilizia ukitiki nitakuja huko kufungua sehemu ya kuuza chakula cha watu wa hali ya kati nitaanda mazingira mazuri na usafi wa hali ya juu naamini watu kama wewe huko mko wengi hivyo sitakosa maokotoYes kaka hapa nimebaki na watoto wife kasafiri..nimezurura na watoto kutafta sehemu tule.nimechoka hoi madogo wamelala kwa njaa.hapa nipo kijichi nafakamia chips.pumbavu
Huyu ni idd njunjuna fundi nilikua mimi
Ndio kote huko usengeni
Kijichi gani..neluka ama gate away ama kwa mpotoHaya sasa siyo maneno sahihi japo mada yako niliilewa!! Kila mji una pande mbili, kwa wenyenazo na wale wenzangu na mie miguu ya kuku mboga!!
Mie naishi Kijichi, viwanja vipo vya kueleweka!!
Makukula wa kitimoto yupo pale lizaboni
Mtini pub bado ipo?