Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.

Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).

NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha. Dunia ya Leo imejaa Statistcial analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Wazee wa Marathon na GAWIO enzi za Jiwe
 
Taasisi za elimu za Tanzania katika uendeshaji wake wa kitaaluma huwa zinaamini katika kumbana mwanafunzi na kumdhibiti asionyeshe uwezo wake personally ambao anao katika hiyo principle anayosomea.

Mfano uongeze findings zako utashangaa mwalimu anakuwekea bifu kwamba unajifanya unajua sana.

Matokeo yake tunauwa ile dhamira ya vijana kujifunza na kubakia kuwa watwana na maketeka wa mfumo ambao hata wakimaliza 90% ya contents ni inapplicable kwenye market.

Hebu leo tafuta wahitimu wa degree wa vyuo tofuti wakuonyeshe wanachoweza fanya ambacho wamejifunzia chuoni utagundua wengi wao wanaishi kwa kanuni za mtaa na wana apply kidogo sana vile darasani.
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha. Dunia ya Leo imejaa Statistcial analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
wanabahatisha???? Kivipi????

Statistcial analysis tools/software???? Hazipo??? Je, ni kweli???

Mtoa mada nahisi umekurupuka au umeendeshwa na chuki kuhusu UDSM.

Kwa shahada za uzamivu na uzamili UDSM wanajitahidi sana (mimi shahidi) bila jasho na damu hutoboi na kama mvivu ndiyo kabisa!!!!!!!!!!!!
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha. Dunia ya Leo imejaa Statistcial analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Pole chief
Hakuna namna inabidi tusome tu
Watapata watakosa wanafunzi
 
Taasisi za elimu za Tanzania katika uendeshaji wake wa kitaaluma huwa zinaamini katika kumbana mwanafunzi na kumdhibiti asionyeshe uwezo wake personally ambao anao katika hiyo principle anayosomea...
Umeeleza ukweli mtupu. Niliwahi kupata nafasi ya kuongea na maafisa wa TCU nikawaambie kwasasa Elimu ya Tanzania inaharibiwa na nyie wasimamizi ya Elimu ya juu.

Taasisi za Elimu ya juu hasa za serikali mnaziogopa hamna sauti ya kusimamia .Elimu imekuwa ya kukaririshana tu. Vyuo vya binafsi kama KIUT na ST JOSEPH vimejaza wageni .Idara ya ANATOMY KIUT ina wahadhiri 7 kati ya hao 6 ni kutoka nchi za nje.,
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha. Dunia ya Leo imejaa Statistcial analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Kama vipi kasome PhD ya Kiswahili SUZA
 
Unaweza kuwa na point ila umegusia juu juu kiasi kwamba nashindwa kukupata kuwa changamoto ni ipi, maana hiko chuo kina wageni wengi kutoka nje na wamepata shahada za uzamili na uzamivu hapo na walisifia ubora wa elimu, je kipengele kipo kwenye baadhi ya college au ni mfumo wa chuo kizima??, Maana kuna taasisi nyingi hapo ni ngumu kujua specific wapi kwenye mapengo yanayohitaji kuzibwa
 
Back
Top Bottom