Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Hujajibu hoja iliyoko mezani nikituhimu tu mara akili ndogo au kubwa Yani mtu afaulu kuanzia la kwanza mpaka masters coursework useme Hana akili?
Hafu akili kubwa ni ile inayo solve changamoto kwenye jamii Kwa uharaka zaidi
 
Ma lecturer wengi wenye exposure na walio soma mbele (Abroad)....

Hupenda Kila mwanafunzi wake afaulu ndio hujivunia ila huku third world countries... Lecturer anatamani awakamate SUP na DISCO ndio ajione mwanazuoni......
Exposure ni janga wengi hawana uzoefu hata wa kazi ya anachofundisha zaidi tu alitoka na GPA kubwa na hawajui uhalisia wa mambo huku nje.
Wahadhiri wazuri ni wale ambao walishafanya kazi kwenye hyo field na wanajua uhalisia hata akielekeza Ina make sense na Hawa ni nadra kusumbua sumbua.
 
Mfumo wetu wa ELIMU ni wakumpima mtu anae weza kukumbuka vitu vilivyo fundishwa na ukiwa na uwezo mkubwa wa kukariri unaitwa una akili.....

Nimebadilisha mtazamo kuhusu ELIMU na AKILI ni vitu viwili tofaut akili ni Zaid ya hizi certificate zetu tunazo jinasibu nazo humu...................

ELIMU sahihi ni Ile itakayo mfanya binadamu akaweza kuyatawa maisha yake...
 
Hii ipo na watu tulikua tunadesa kama kawaida
 
Ukikutana na rais enhee?? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Ukitoka hapo watakao takiwa kumshauri ni hao hao waandikaji wa machapisho kwaajili ya kupandishwa vyeo vyao.

Nazan swala la elimu kuwa bora, ni vingi tubadilishe kuanzia mifumo ya makuz na malezi ya watoto, mifumo ya siasa maana huwez kuwa na mbunge darasa la saba utegemee akajenge hoja yakueleweka bungen???? [emoji1] [emoji1]. Chunguza education level ya viongozi wako ucheke ufeee, vyuo vinanunuliwa na kutoa udaktari tuu wa ajabu ajabu.

Nasemaje sisi pamoja na viongozi wote tupo hoi bin taabani shimon, afu humo ndan ya shimo wanasiasa tuna tegemea watujuze yanayojiri nje ya shimo [emoji23]. Masikin wanatudanganya na tunaamin kweli wanaona ya njeee!

Ili tutoke kwenye hili shimo ni mapinduzi makubwa yanatakiwa, sis tupinduke juuu na shimo chin. Over
 
Una hoja usikilizwe
 
Ma lecturer wengi wenye exposure na walio soma mbele (Abroad)....

Hupenda Kila mwanafunzi wake afaulu ndio hujivunia ila huku third world countries... Lecturer anatamani awakamate SUP na DISCO ndio ajione mwanazuoni......
ila huku third world countries... Lecturer anatamani awakamate SUP na DISCO ndio ajione mwanazuoni......🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…