Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Sasa kati ya mzumbe na udsm ipi nafuu kwa level hyo hyo master

Mbna watu tunalia na mzumbe Hadi wengine tumeingia mitini ......siwezi kujianika Sana [emoji38]
 
Sasa kati ya mzumbe na udsm ipi nafuu kwa level hyo hyo master

Mbna watu tunalia na mzumbe Hadi wengine tumeingia mitini ......siwezi kujianika Sana [emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nadhani nchini walimu wenye roho mbaya ni WA vyuo vikuu wanafurahia watu wazima wakihangaika mbona walimu wa secondary walikuwa wanafurahia tukifaulu.
Ndugu yangu mwenyewe alipewa supp Huku kapata A, kajichosha mwalimu kumsumbua aka sapua Dr ana mwambia mbona huna supp nisamehe sana [emoji28][emoji28].
 
Rule of studying master
1.jua kazi kwanza. ..pata uzoefu wakutosha. ..4,5 hata 10yrs then nenda.
2.tafuta course ambayo haitakupa changamoto nyingi hasa kulingana na field yako. If possible soma hata online masters/phd
3.fanya course ilio ndani ya uwezo wako baada ya uzoefu from 1.
 
Kwani research methodology ni statistical analysis mkuu? Nahisi kuna mahali unakwama!
 
Kuna mambo ambayo sio lazima usome darasani. Hivi kwa mfano unamalizaje chuo kwa ngazi ya masters au PhD na hujui data analysis softwares? Wewe umetaja chache lakini ziko nyingine nyingi kama Atlas Ti Nivovi na nyingine kadha wa kadha. Hapa tatizo sio chuo Bali mwanafunzi wenyewe. Initially, kabla hujakimbilia kwenye software lazima ujue kufanya analysis manually [emoji1787]
 
Poleeeee....hata hivyo hili liko kwa watu wachache. Mimi nilisoma pale nikapa-enjoy sana
 
vyuoni sijui wakoje,kama wachawiiii hap wakufunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…