Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Dear usicheke udsm ni washenzi hawajali time management unasoma masters yako Hadi unapata depression unavohangaika kusafiri kutoka mkoani na kulia Lia ndio furaha zao. Huku extension fee kubwa, shoga angu Hadi nusu mimba imuue kisa stress.
So udsm sio swala la akili Kuna tatizo la wahadhiri kukaa na kazi yako hata miezi minne no one cares
Sasa kati ya mzumbe na udsm ipi nafuu kwa level hyo hyo master

Mbna watu tunalia na mzumbe Hadi wengine tumeingia mitini ......siwezi kujianika Sana [emoji38]
 
Sasa kati ya mzumbe na udsm ipi nafuu kwa level hyo hyo master

Mbna watu tunalia na mzumbe Hadi wengine tumeingia mitini ......siwezi kujianika Sana [emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nadhani nchini walimu wenye roho mbaya ni WA vyuo vikuu wanafurahia watu wazima wakihangaika mbona walimu wa secondary walikuwa wanafurahia tukifaulu.
Ndugu yangu mwenyewe alipewa supp Huku kapata A, kajichosha mwalimu kumsumbua aka sapua Dr ana mwambia mbona huna supp nisamehe sana [emoji28][emoji28].
 
Rule of studying master
1.jua kazi kwanza. ..pata uzoefu wakutosha. ..4,5 hata 10yrs then nenda.
2.tafuta course ambayo haitakupa changamoto nyingi hasa kulingana na field yako. If possible soma hata online masters/phd
3.fanya course ilio ndani ya uwezo wako baada ya uzoefu from 1.
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.

Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).

NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Kwani research methodology ni statistical analysis mkuu? Nahisi kuna mahali unakwama!
 
Ofcoz UDSM katika maswala mazima ya statistics hawako vizuri becoz wao wanafundisha theory tu ila practical hawatoi kwamfano....mwanafunzi anahitimu bachelor in statistics lakin hajui kutumia software yoyote ile....naaman hajui STATA au R au SPSS..SAS. so unategemea atajiliwa na nan kama hujui hivy vitu.
Kuna mambo ambayo sio lazima usome darasani. Hivi kwa mfano unamalizaje chuo kwa ngazi ya masters au PhD na hujui data analysis softwares? Wewe umetaja chache lakini ziko nyingine nyingi kama Atlas Ti Nivovi na nyingine kadha wa kadha. Hapa tatizo sio chuo Bali mwanafunzi wenyewe. Initially, kabla hujakimbilia kwenye software lazima ujue kufanya analysis manually [emoji1787]
 
Sishauri mtu kusoma postgraduate udsm ni wasumbufu mno wahadhiri wako busy na mambo Yao una print unapeleka na kufanya follow up siku unayoenda kumuona mhadhiri ka miezi mitatu alishapoteza u print Tena na hawataki utume softcopy.
Udsm badilikeni muache ushenzi wa kupotezea watu mda
Poleeeee....hata hivyo hili liko kwa watu wachache. Mimi nilisoma pale nikapa-enjoy sana
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nadhani nchini walimu wenye roho mbaya ni WA vyuo vikuu wanafurahia watu wazima wakihangaika mbona walimu wa secondary walikuwa wanafurahia tukifaulu.
Ndugu yangu mwenyewe alipewa supp Huku kapata A, kajichosha mwalimu kumsumbua aka sapua Dr ana mwambia mbona huna supp nisamehe sana [emoji28][emoji28].
vyuoni sijui wakoje,kama wachawiiii hap wakufunzi
 
Back
Top Bottom