Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,471
- 2,891
Siku hizi wana online supervision tracking system. Kama kuna mtu amalizi bado tatizo haliwezi kuwa la wasimamizi tu. It's very easy kufanya tracking ya supervision. Kila kitu ni online, unamtumia kazi supervisor kwenye mfumo ambao kila mtu anaweza kuona lini ulituma na supervisor anasoma na kurejesha feedback kwa mfumo huo huo ambao uko tracked. Bila shaka hili litakuwa limeondoa shida ya supervisors hawasomi kazi. cariha rudi tena, huwezi kukaa sana hahaNadhani kuwe na deadline Kwa wahadhiri na wanafunzi pia.kama mhadhiri anasimamia research apangiwe muda wa kusahihisha na kutrudisha Kwa mwanafunzi na mwanafunzi nae iwe hivyo hivyo.na wahadhiri wa repotiwe wasiporudisha Kwa wakati.wanafunzi wasingekua na malalamiko.rafiki wawili hawajamaliza mpaka leo.wamejikatia tamaa.mbona walimu wa Nje wanawekewa deadline ya kupost grade za wanafunzi wao.wahadhiri wa bongo hawawajibishwi.