Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Nadhani kuwe na deadline Kwa wahadhiri na wanafunzi pia.kama mhadhiri anasimamia research apangiwe muda wa kusahihisha na kutrudisha Kwa mwanafunzi na mwanafunzi nae iwe hivyo hivyo.na wahadhiri wa repotiwe wasiporudisha Kwa wakati.wanafunzi wasingekua na malalamiko.rafiki wawili hawajamaliza mpaka leo.wamejikatia tamaa.mbona walimu wa Nje wanawekewa deadline ya kupost grade za wanafunzi wao.wahadhiri wa bongo hawawajibishwi.
Siku hizi wana online supervision tracking system. Kama kuna mtu amalizi bado tatizo haliwezi kuwa la wasimamizi tu. It's very easy kufanya tracking ya supervision. Kila kitu ni online, unamtumia kazi supervisor kwenye mfumo ambao kila mtu anaweza kuona lini ulituma na supervisor anasoma na kurejesha feedback kwa mfumo huo huo ambao uko tracked. Bila shaka hili litakuwa limeondoa shida ya supervisors hawasomi kazi. cariha rudi tena, huwezi kukaa sana haha
 
Unajua kwanini watu wengi hawapendi na hawajui (majority) kufanya tafiti..

Kufundishwa APA ni jambo Moja kutumia ni jambo lingine...

Wengi wetu hatujui kanuni za kufanya utafiti.....Na ndio maana mtu yupo tayar kufanyiwa utafiti wake na mtu yeye akaenda ku present....
Sasa mkuu huoni hapo kuna tatizo? Yaani hujui alafu unampa mtu akufanyie tena? Sasa chuo unaenda kufanya nini kama sio kujifunza hayo?
 
Siku hizi wana online supervision tracking system. Kama kuna mtu amalizi bado tatizo haliwezi kuwa la wasimamizi tu. It's very easy kufanya tracking ya supervision. Kila kitu ni online, unamtumia kazi supervisor kwenye mfumo ambao kila mtu anaweza kuona lini ulituma na supervisor anasoma na kurejesha feedback kwa mfumo huo huo ambao uko tracked. Bila shaka hili litakuwa limeondoa shida ya supervisors hawasomi kazi. cariha rudi tena, huwezi kukaa sana haha
Mie enzi nahangaika hakukuwa na hii online supervision nadhani imeanza Haina hata miaka mitatu maana hii changamoto ya supervisor ilikuwa kero Kwa kweli kutokujali Kuna Dr wa pale alinambia wamekuwa strictly Kwa wasimamizi hapo ukichelewa ni wewe
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Njoo basi utoe maoni yudizim waboreshe mazingira watu tuchukue shahada zetu kiurahisi.

Au hutaki tumalize shule?😂

Nilivyo low-key nikija waweza nistukia nikiwa naongea Kingereza changu cha America,utanistukia tu!

Sikanyagiiii

Mi nshamalizaga miaka hiyo Engineering inaitwa CoET miaka ya Luhanga alitufundisha Circuit Systems

Wee komaa tu mama,hamna namna!

Siku hizi si nasikia bwerereeeee

.....kuraaaa chuma hichooo.... 😂
 
Kwahiyo Mkuu unataka na sisi tusote kama mlivyosota😆

Kumbe wewe Engineer kabisa 😊
Lisu akiwa Rais tutakupa Uwaziri wa teknolojia😂.

Hebu tuma voicenote ya kimalkia tuone., lazima kalafudhi ka kimachame kamo ndani yake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo basi utoe maoni yudizim waboreshe mazingira watu tuchukue shahada zetu kiurahisi.

Au hutaki tumalize shule?[emoji23]
Leo nimekaa na watu nazungumzia kuhusu Masters, mmoja kadakia, "yaan kwa ugumuu na tabu hii ya bachelor bado unawaza kusoma postgraduate hapa tena hivi karibuni??"

Watu tumechekaa leo, UD ni kisangaa kwa kukomoa wanafunzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heri uunganishe kuliko kupumzika.
Ukipumzika akili inapoa,

Ukiunga sasahivi ubongo unakuwa active.
 
Back
Top Bottom