and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
PhD za mchongo. Watu wanapeana kikabila
Muda mwingine watu tunakosa namna inabidi mtu asome bongo ila wakafunzi wanavyokaza sio poa wengine wanaongozwa na mihemko na chuki usipata unachistahili kwa muda husika.Masters phD sio za kusomea bongo
Biteko kasomea SAUT sio UDOM.kati Udom imeamua kuwazawadia PhD za bure kama maandazi akina Biteko,
Hata maandishi yao hayapo.
Upumbavu mtupu
Uko sahihi, Walimu wanaosumbua ni wale wa shule za misingi na Vyuo vikuu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nadhani nchini walimu wenye roho mbaya ni WA vyuo vikuu wanafurahia watu wazima wakihangaika mbona walimu wa secondary walikuwa wanafurahia tukifaulu.
Ndugu yangu mwenyewe alipewa supp Huku kapata A, kajichosha mwalimu kumsumbua aka sapua Dr ana mwambia mbona huna supp nisamehe sana [emoji28][emoji28].
PhD ni Udom ila degree nyingine ndio kasoma SAUTBiteko kasomea SAUT sio UDOM.
Kwanini msiteseke kama tulivyoteseka sisi?? Lazima tuwasumbueIla miprofesa ya kibongo jau sana
Kwahiyo standard deviation ya Kothari (2004) imepitwa na wakati au tukueleweje? Kwa uandishi huu huenda hicho unachlalamikia unastahili😀😀😀😀😀😀😀. Course za research walimu wanabahatisha, how?Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Aisee hapa angalau naanza kuelewa, wengine wengi wanajibu kwa mihemko na upendeleo.Unaweza kuwa na point ila umegusia juu juu kiasi kwamba nashindwa kukupata kuwa changamoto ni ipi, maana hiko chuo kina wageni wengi kutoka nje na wamepata shahada za uzamili na uzamivu hapo na walisifia ubora wa elimu, je kipengele kipo kwenye baadhi ya college au ni mfumo wa chuo kizima??, Maana kuna taasisi nyingi hapo ni ngumu kujua specific wapi kwenye mapengo yanayohitaji kuzibwa