Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko mambo ni mserereko sivyo?Achana na UDSM nenda Nelson Mandela African Institution of Science and Technology kipo Tengeru Arusha. Ni chuo kikubwa Africa ya Mashariki na Kati
Barabara zile zinajengwa na TANROAD kwa makubaliano zitumike na ummaUdsm wanapjga sana pesa za mama.. kumbuka enzi za jiwe kwa pesa za ndani hapo udsm wamefanya mambo mengi sana.. wamejnga ukuta, barabara na baadhi ya majengo.. lakini leo wanakula tuu mapato ya ndani
Well unaweza kua na hoja, lakini pia nataka kukukumbusha kua tuna kitu tunaita research and innovation. Research ni more academic than innovation, ndo hapo nguvu ya hoja yako inapoingia. Coz kuinnovate kitu ambacho kina application kwenye jamii sometimes doesn't necessarily need scientific investigations nor research. Ndo maana kuna watu wengi tu wana innovate vitu na hata hawana elimu ya chuo kikuu. But ukiingia ndani zaidi to some extent, innovation inaweza kuhitaji kufanyiwa research ili kuiboresha zaidi. Ndo maana makampuni makubwa duniani yanapeleka hizo innovative ideas kwenye vyuo vikubwa ili zikafanyiwe utafiti zaidi na lengo ni kuiboresha na kuifanya salama zaidi kwa mtumiaji wa mwisho. For instance nimewahi kupitia pitia websites za vyuo mbalimbali vikubwa duniani na nikaona wanatangaza scholarships za Master's & PhD lakini unakuta kampuni kubwa za vitu mbalimbali kama magari, simu, mambo ya gesi n.k ndo wametoa sponsorships kwenye hizo ideas na wanashirikiana na chuo kwenye kila kitu. So mwanafunzi anasoma na kufundishwa na lecturers wake but on the flip side anaenda kiwandani for industrial practices. Kwa upande mwingine tena kuna research nyingi tu ambazo zimepitia kwenye scientific investigations maabara kabsa then finally zikaenda kuzaa product ambayo ina direct impact kwenye jamii. Nini nataka kusema hapa?! Issue ni kwamba huwezi kutenganisha research and innovation maana vyote vina lengo moja tu ya kutoa product ama kutatua changamoto kwenye jamii husika. So wenzetu wamefanikiwa kwasababu wameziunganisha kupitia viwanda ambavyo vinahusika na hizo ideas/ product. Sisi tunafeli kwasababu tumetenganisha research peke yake, innovation peke yake na viwanda vinapambana kivyao kuimprove products ambazo zitaweza kushindana sokoni. Ndo hapo inapokuja kuonekana Elimu yetu ya chuo kikuu haina maana coz inaishia tu kwenye makaratasi na industry haijui nini wanafanya zaidi ya kuandaa watu ambao wakifika kwenye industry mchango wao unakua mdogo sana. Nitarudi baadae!Kwani elimu kubwa sana ina umuhimu kufika ngazi hizo? Taasisi au kampuni zote duniani zinazofanya vizuri vyeti vyako watu wataviangalia ngazi ya entry level ila kuanzia hapo hamna atayetaka kujua umesoma mpaka ngazi ipi. Kitu cha muhimu watu watataka waone kazi ulizowahi kufanya na sio elimu yako.
Unafikiri kampuni kama Benz au Apple wakitaka chief designer watataka kujua umesoma mpaka Master's /Ph.D? Wao kitu cha msingi ni kazi zipi umewahi kufanya. Hata hapa hapa bongo maeneo wanayojielewa elimu sio hoja. Vodacom waliwahi kuwa na CEO mwenye umri chini ya miaka 30 na alikuwa na shahada moja tu. Baada ya yeye kuondoka walikosa mtu hapa wakatafuta kutoka nje.
Ahaa, noted.Kwani elimu kubwa sana ina umuhimu kufika ngazi hizo? Taasisi au kampuni zote duniani zinazofanya vizuri vyeti vyako watu wataviangalia ngazi ya entry level ila kuanzia hapo hamna atayetaka kujua umesoma mpaka ngazi ipi. Kitu cha muhimu watu watataka waone kazi ulizowahi kufanya na sio elimu yako.
Unafikiri kampuni kama Benz au Apple wakitaka chief designer watataka kujua umesoma mpaka Master's /Ph.D? Wao kitu cha msingi ni kazi zipi umewahi kufanya. Hata hapa hapa bongo maeneo wanayojielewa elimu sio hoja. Vodacom waliwahi kuwa na CEO mwenye umri chini ya miaka 30 na alikuwa na shahada moja tu. Baada ya yeye kuondoka walikosa mtu hapa wakatafuta kutoka nje.
Huyu ni Osoro Mkubwa,naona mwanae hakazi sana kama Baba yake.Hahahaa nakumbuka kipindi Prof. Adolf Mkenda waziri wa elimu kipindi hicho akiwa mkuu wa idara ya uchumi kuna mdada mmoja alikuwa mwanafunzi Ph.D Economics kutoka Kenya aliangua kilio ofisini kwake baada kupewa stress za kutosha na supervisor wake nafikiri alikuwa Pro. Nehemia Osoro.
Kaka kila kitu kinaanza na theory kwanza kisha ndio hizo practical training mbona hizo statistical packages kama R na STATA zinatumika sana.hiyo SPSS isha pitwa na wakati na haitoi results nzuri.Sir
e hakuna kitu nilichukia kama ufundishaji wa statistics pale Mlimani. Ni kama ulivyosema lecture anakomalia historia ya statistics na nadharia nyingi na kufanya statistics kuonekana ngumu mno.
Hakuna matumizi ya modern statistics softwares tena nashangaa kama bado watu hawafundishwi softwares kama R, Matlab, SPSS, nk! Ufundishaji wa hovyo sana huo na haunsaidii mwanafunzi.
Kwa aliyezoea kubebwa vyuo vingine akifika UDSM lazima alalamike aone anaonewa
Miye mwenyewe nimeshangaa sanaHivi kuna watu bado wanasoma mpaka vyuoni?
Hahahaha [emoji38][emoji1787]Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Kuna yule Mama Mkenda Mke wa Waziri Mkenda,yeye ukimtumia kazi leo kesho alisha kupa ukileta uzembe huwa anaenda kwa coordinatar wa Research anamwambia wakubadilishe wakutafutie supervisor mwingine.Sishauri mtu kusoma postgraduate udsm ni wasumbufu mno wahadhiri wako busy na mambo Yao una print unapeleka na kufanya follow up siku unayoenda kumuona mhadhiri ka miezi mitatu alishapoteza u print Tena na hawataki utume softcopy.
Udsm badilikeni muache ushenzi wa kupotezea watu mda
Eneo lenyewe LA CoET miaka nenda rudi linanuka vibaya mno-sijui huwa ni vyoo havisafishwi vizuri au chemba ndio zina matatizo sasa ukijumuosha na aina za mademu wanapatikana hamu yote si inakata.aisee, mlifaidi sana, Nyeto nilianzia CoET aisee, maana madem wananuka midomo, sura kama yangu
Jipange maana watu wanapata sana supp na wengine wana Carry masomo hiyo masters itakubidi usome kama undergraduate. Huko kwenye research ndio majanga matupu kama program yako ni 18 months jua fika kama mpo 40 hadi huo muda ata graduate 1 au 2 wengine lazima mtachukua zaidi ya 3+yrsWakuu nilikuwa natamani nifanye masters of taxation, hapo udsm.
Ila kwa hizi comments, mbona mnanitisha
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Sasa kumezesha watu hizo referencing styles sijui APA, sijui Vancouver, na yenyewe ni ishu ya kujivunia? Hizo makitu unaingiza tu details za unachotaka kureference kwenye software (eg Mendley, Zotero, etc), una select referencing style unayotaka kama ni APA, kama ni Harvard, whatever you want, inakuchapia reference hapo fasta.R.i.p
prof. Y. Bwatwa, Asante Mwenyezi Mungu Kwa kunikutanisha na Huyu gwiji,
Research methodologies lazima zokukae kichwani.....
A.P.A Style LAZIMA tu 😊☺️ itakukaa kichwani prof. Y . Bwatwa hakua na masiala
Yaan,
Hakuna kudesa Kuna Ant_plagiarism software sikuizi 😊😊☺️☺️
Mzumbe ni nafuu zaidi na ukitaka kuhakikisha chukulia idadi ya wanafunzi wanaokwenda kuchukua hayo masomo ya master's.Sasa kati ya mzumbe na udsm ipi nafuu kwa level hyo hyo master
Mbna watu tunalia na mzumbe Hadi wengine tumeingia mitini ......siwezi kujianika Sana [emoji38]
Wewe jamaa unajua sana maana ya Masters.Rule of studying master
1.jua kazi kwanza. ..pata uzoefu wakutosha. ..4,5 hata 10yrs then nenda.
2.tafuta course ambayo haitakupa changamoto nyingi hasa kulingana na field yako. If possible soma hata online masters/phd
3.fanya course ilio ndani ya uwezo wako baada ya uzoefu from 1.
Hapana hii sio hoja kama issue ni wingi wa wanafunzi wa masters na PhD,ni issue ambayo ipo ndani ya management ya chuo maana wanaweza wakapunguza udahili wa wanafunzi uendane na idadi ya Walimu.Hiyo inamhusu nini mhadhiri ambaye naye anawakuta tu wanafunzi darasani? Nimekuambia ulete ratio hujaleta unaanza leta hoja nyingine....kaam mwajiriwa hafanyi kazi vizuri kwa nini Sasa mwajiri asimfukuze kazi? Iulize serikali yako hilo swali...tunawekeza kwenye siasa halafu tunataka kuvuna kwingineko umeona wapi hiyo? Wewe baada ya kuhitimu MSc kwa nini hukubaki idarani kwako utatue hizo changamoto ukakimbia? Ni rahisi kusema lakini kutenda Sasa...