Kijana aaminiwe kwa performance yake umaijulia wapi?
Mchechu ana miaka zaidi ya 50,huyo ni kijana?
Mchechu kafanya kazi miaka yote kwa maarifa mpaka akaja kuonekana hivi karibuni ndio akapewa majukumu serikalini
Huyu kijana unaemsemea kaja ofisni kwako wewe ni mganga wa kienyeji ujue ana "performance nzuri" kutoka wapi?
Kama ana performance nzuri huko nyuma na rekodi zipo hua hawanyimwi kazi ndugu acha kuleta vitu vya uongo hapa
Hujui performance yake,huna rekodi zake,huo utaalamu wake utausoma usoni mwake?
How do you trust he is a performer?
Cheti ndio walao kinakujengea imani,japo sio the whole story,walao inajenga imani ndio umtest!
Mchechu alijiprove over and over again ndio maana yeye ni "head hunted" na sio mtu wa kuomba kazi,hajaomba kazi popote wamemuomba awafanyie kazi ndugu!
Top performers hawaombagi kazi popote,hua wao wanaombwa!
Know the difference!