Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

Kwa hiyo, unataka kusema kuwa na digrii moja ndiyo kuwa na akili? Sijakuelewa.
Hapana, ila je kuna umuhimu wa vijana kuaminiwa na kupewa nafasi nyeti ikiwa wanaperfom vizuri hata kama hawana baadhi ya qualification ( kama masters etc, sijui uzoefu wa miaka 10+ na nyinginezo) kama ambavyo imefanyika kwa huyu Mchechu ambae pamoja na kutokuwa na hivyo perfomance yake huko nyuma ilimfanya kuaminiwa na kupewa vitengo kadha wa kadha kuvisimamia na mpaka sasa tupo Hazina??
 
One does not exclude the other. Mchechu ha'perform' kwa sababu ana degree 1, ni kwa sababu anajituma na huenda ana 'soft skills' ndizo zinazomsaidia aonekane tofauti. Studies nyingi pamoja na kuwa na 'hard skills' (kuwa bingwa katika masomo mtu aliyoyasoma) zinashauri mtu awe pia na 'soft skills' - critical thinking, problem-solving, efficiency, teamwork, collaborative & interactive skills etc. Kuna watu hawasomi alama za nyakati. Employers wengi (kama siyo wote) wanataka wamwajiri mtu ambaye pamoja na hard skills ana pia soft skills. Kama mtu hana hizi sets mbili za skills kazi ya kuajiriwa anakuwa anaisikia tu kwa wengine. Hata ukisoma studies au vitabu vinavyozungumzia "the work of tomorrow" ndivyo ilivyo.
 
Kijana aaminiwe kwa performance yake umaijulia wapi?

Mchechu ana miaka zaidi ya 50,huyo ni kijana?

Mchechu kafanya kazi miaka yote kwa maarifa mpaka akaja kuonekana hivi karibuni ndio akapewa majukumu serikalini

Huyu kijana unaemsemea kaja ofisni kwako wewe ni mganga wa kienyeji ujue ana "performance nzuri" kutoka wapi?

Kama ana performance nzuri huko nyuma na rekodi zipo hua hawanyimwi kazi ndugu acha kuleta vitu vya uongo hapa

Hujui performance yake,huna rekodi zake,huo utaalamu wake utausoma usoni mwake?

How do you trust he is a performer?

Cheti ndio walao kinakujengea imani,japo sio the whole story,walao inajenga imani ndio umtest!

Mchechu alijiprove over and over again ndio maana yeye ni "head hunted" na sio mtu wa kuomba kazi,hajaomba kazi popote wamemuomba awafanyie kazi ndugu!

Top performers hawaombagi kazi popote,hua wao wanaombwa!

Know the difference!
 
Scheme ya Serikali sidhan kama inaruhusu mtu kuwa MD,DG, CEO wa Sehemu flani hali ya kuwa hauna MASTERS.

Labda kama alipewa favor..
Mchechu aliteuliwa kuwa DG na kikwete kutoka officer wa Benki tu, alimuibua baada kupitia talent hunting yake aliyojiwekea , hayo mavyeti sometimes mkenge tu kama kina mwanasheria mkuu faleshi na spika tulia vichwa maveee kabisa
 
Duh basi kweli inaonekana hata historia ya mfano wangu tu huijui, ila msome tu hata Mchechu ndio utajua aliaminiwaje in the first place almost 20 years ago ndio utaelewa nachomaanisha
 
Duh basi kweli inaonekana hata historia ya mfano wangu tu huijui, ila msome tu hata Mchechu ndio utajua aliaminiwaje in the first place almost 20 years ago ndio utaelewa nachomaanisha
Chuki uliyonayo kwa wananchi wa kawaida kabisa wanaojitahidi kupata maarifa kwa ngazi za juu walao kuwasaidia kua productive na werevu kusaidia maisha yao ni mbaya sana

Hawana akili kama Mchechu ndio maana wanajitahidi kadiri inavyowezekana kupata thinking tools kwa kusoma,wangekua kama Mchechu wasingekua na haja ya kusoma hivyo

Hapa ni matter of survival according to mental powers your creator has given you,most people are average ndio maana wanasoma sana walao wafikie

Mchechu mtoe kwenye list huyo ni special case na wapo wachache sana TZ hii,infact yupo yeye tu kati ya watu milioni 60!

Sasa hawa watu average unataka wasiende hata shule kabisa wajifunze chochote cha kuwasaidia eti kisa wawe kama Mchechu asiesoma?

Punguza upumbavu
 
maprofesa wengi ni zero kabisa hasa wanapokuwa katika mazingira ya kawaida, hamna faida ya kupublish paper mia halafu unalala njaa
 
tatizo la vyuo vikuu vyetu wanajenga ukuta kati ya mwanafunzi na mwalimu, wanadhani mwanafunzi ataendelea kuwa mwanafunzi milele, wengine wakimwona hata raisi kwa vile ana diploma mfano profesa anadhani ahana cha kumsaidia kwa vile siyo profesa hapa watanzania tunaanguka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…