Kusoma vyuo vikuu nje ya nchi

Hawaulizwi kwa kuwa tayari details zao za No objection zipo kwa TCU mradi usiwe ulibadilisha chuo.Inamaana unapoomba chuo kuwa verified pamoja na course unayoenda kusoma kwa qualification ulizokuwa nazo wanakupa approval.Na ukirudi hunajaza form nyingine ,ila details zako zinakuwepo ndio maana hawakuombi barua waliokupa wenyewe.Kama una letter of no objection ,maombi yako ya kuverify cheti huchukua muda mrefu zaidi.
 
Nimekupata
Shukrani sana
 
Vyuo vingi nje wanapokea kuanzia GPA ya 2.7 na TCU wanavitambua...iyo ndio B average kwa diploma entry,lakini kwa Tanzania wameweka minimum GPA ya 3...
Sasa mbona kama kiswahili kinapishana?kuna ulazima gani kua na vigezo vya kusoma vyuo vya ndani wakati nchi ni tofauti na vigezo wanatumia tofauti...nieleweshe hapo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimemjibu kiushauri na ninachokijua kadiri alivoniuliza yule jamaa wa medicine huko juu.

Cha msingi ni kupata iyo letter ya NOC yao. Ikitokea wamekunyima kuwa huna sifa za kusoma hatua inayofuata basi.

Tatizo ni Qualifications za mfumo wetu wa elimu zinabadilikabadilika kila mara. Kuna jamaa yangu alisoma PCB akaenda kusoma india, mwaka 2019 mwaka aliomaliza yeye vigezo vya PCB kusoma afya vilikuwa juu yeye akajikuta anakosa sifa kidogo kwa somo moja. Akaamua kwenda ivoivo kusoma huko india, lakini mwaka uliofuatia 2020 TCU wakashusha vigezo vya kusoma afya PCB, kwa hapo jamaa akawa na sifa.

Alivorudi likizo kaenda TCU wakamwambia hakuna tatizo wakampatia na hiyo NOC.
 
Hahaha TCU wanapelekeshwa na wanasiasa sana
Kama world standard ni 2.7GPA ama D mbili form six wao wanapandisha so What? Kuna kipindi walipandisha hadi GPA ya 3.5 imagine... wakati huohuo Utaambiwa nchi inauhaba wa wataalamu k8la nyanja na Bado mnapiga watu pini wasisome ni Maajabu.

Anyway nimekuelewa tayari...Unajibu vizuri sana maswali yetu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hapo ndo inakuwa ngumu mm nilisoma masomo ya Sanaa na diploma ya HR nikaona nikimbilie nje nikasome IT kumbe nitapoteza muda
 
MKUU chukua link omba mwenyewe
 
Nimewah kwenda na global kila kitu wanakufanyia na shule utaend tatzo litakuja utakuta global umelipa usd 5000 unafika chuo ada aizidi 1000usd

Lakini kwingine awana longolongo
Ulisoma chuo gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…