UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,563
- 5,687
Hawaulizwi kwa kuwa tayari details zao za No objection zipo kwa TCU mradi usiwe ulibadilisha chuo.Inamaana unapoomba chuo kuwa verified pamoja na course unayoenda kusoma kwa qualification ulizokuwa nazo wanakupa approval.Na ukirudi hunajaza form nyingine ,ila details zako zinakuwepo ndio maana hawakuombi barua waliokupa wenyewe.Kama una letter of no objection ,maombi yako ya kuverify cheti huchukua muda mrefu zaidi.Ila kwenye mahitaji ya kuverify cheti ulichokipata nje ya nchi, sijaona kipengele chochote wanachotaka uwaoneshe NO OBJECTION CERTIFICATE YAO waluokupatia kabla hujaenda kusoma huko nje ya nchi.
na kuna raia kibao tuu, ninaona wanaenda kusoma nje ya nchi bila kuwa na iyo NO OBJECTION CERTIFICATE na wakirudi vyeti vyao vinakuwa verified bila kuulizwa iyo NOC.