Kusoma vyuo vikuu nje ya nchi

Kusoma vyuo vikuu nje ya nchi

Ila kwenye mahitaji ya kuverify cheti ulichokipata nje ya nchi, sijaona kipengele chochote wanachotaka uwaoneshe NO OBJECTION CERTIFICATE YAO waluokupatia kabla hujaenda kusoma huko nje ya nchi.

na kuna raia kibao tuu, ninaona wanaenda kusoma nje ya nchi bila kuwa na iyo NO OBJECTION CERTIFICATE na wakirudi vyeti vyao vinakuwa verified bila kuulizwa iyo NOC.
Hawaulizwi kwa kuwa tayari details zao za No objection zipo kwa TCU mradi usiwe ulibadilisha chuo.Inamaana unapoomba chuo kuwa verified pamoja na course unayoenda kusoma kwa qualification ulizokuwa nazo wanakupa approval.Na ukirudi hunajaza form nyingine ,ila details zako zinakuwepo ndio maana hawakuombi barua waliokupa wenyewe.Kama una letter of no objection ,maombi yako ya kuverify cheti huchukua muda mrefu zaidi.
 
Nimekupata
Shukrani sana
 
Yeah.

Ila hakikisha kwamba ni unasifa za kusoma ndani kozi husika. Maana kama HUNA qualifications ya kusoma vyuo vya ndani then ukasema ukimbilie nje, ukirudi watakugomea kuwa hukuwa na sifa za kusoma ulichoenda kusoma huko nje na itakuwa umepoteza muda wako tuu maana hawatakupatia certificate of recognition ya cheti ulichopata huko nje.

So better kupata iyo NO OBJECTION CERTIFICATE YAO ili huko nje ukasome kwa amani, usije kujikuta umeongia gharama za kupoteza pesa na muda.
Vyuo vingi nje wanapokea kuanzia GPA ya 2.7 na TCU wanavitambua...iyo ndio B average kwa diploma entry,lakini kwa Tanzania wameweka minimum GPA ya 3...
Sasa mbona kama kiswahili kinapishana?kuna ulazima gani kua na vigezo vya kusoma vyuo vya ndani wakati nchi ni tofauti na vigezo wanatumia tofauti...nieleweshe hapo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimemjibu kiushauri na ninachokijua kadiri alivoniuliza yule jamaa wa medicine huko juu.

Cha msingi ni kupata iyo letter ya NOC yao. Ikitokea wamekunyima kuwa huna sifa za kusoma hatua inayofuata basi.

Tatizo ni Qualifications za mfumo wetu wa elimu zinabadilikabadilika kila mara. Kuna jamaa yangu alisoma PCB akaenda kusoma india, mwaka 2019 mwaka aliomaliza yeye vigezo vya PCB kusoma afya vilikuwa juu yeye akajikuta anakosa sifa kidogo kwa somo moja. Akaamua kwenda ivoivo kusoma huko india, lakini mwaka uliofuatia 2020 TCU wakashusha vigezo vya kusoma afya PCB, kwa hapo jamaa akawa na sifa.

Alivorudi likizo kaenda TCU wakamwambia hakuna tatizo wakampatia na hiyo NOC.
 
Hahaha TCU wanapelekeshwa na wanasiasa sana
Kama world standard ni 2.7GPA ama D mbili form six wao wanapandisha so What? Kuna kipindi walipandisha hadi GPA ya 3.5 imagine... wakati huohuo Utaambiwa nchi inauhaba wa wataalamu k8la nyanja na Bado mnapiga watu pini wasisome ni Maajabu.

Anyway nimekuelewa tayari...Unajibu vizuri sana maswali yetu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Yeah.

Ila hakikisha kwamba ni unasifa za kusoma ndani kozi husika. Maana kama HUNA qualifications ya kusoma vyuo vya ndani then ukasema ukimbilie nje, ukirudi watakugomea kuwa hukuwa na sifa za kusoma ulichoenda kusoma huko nje na itakuwa umepoteza muda wako tuu maana hawatakupatia certificate of recognition ya cheti ulichopata huko nje.

So better kupata iyo NO OBJECTION CERTIFICATE YAO ili huko nje ukasome kwa amani, usije kujikuta umeongia gharama za kupoteza pesa na muda.
Mkuu hapo ndo inakuwa ngumu mm nilisoma masomo ya Sanaa na diploma ya HR nikaona nikimbilie nje nikasome IT kumbe nitapoteza muda
 
Kuna taasisi nyingi hivi sasa ni agents wa vyuo vikuu nje ya nchi,kama kuna mtu mwenye ushuhuda kuhusu ukweli wao kama sio matapeli naomba anifahamishe kabla sijafanya maamuzi,,,hususan TASSAA na hawa global
Kama kuna mzazi au mtu yeyote amesoma au kumpeleka kijana wake kupitia taasisi hizi kozi ya optometry ,radiology au anaesthesia naomba anifahamishe maana ndio nataka kwenda kusoma kati ya hizo

Shukran.
MKUU chukua link omba mwenyewe
 
Back
Top Bottom