Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siku zote napenda kujiweka katika nafasi ya mtoa uzi. Hivyo, nikuulize unatamani kufanya hivyo kwa msukumo upi? Wa kupata malipo mazuri au kwa sababu ya passion?
Kama jibu ni kwa sababu ya passion basi utalazimika kuanzia Diploma. Kisha uingie Shahada nk.
Kama jibu ni kwa sababu ya hela na Status, piga chini mpango wako.
Anyway, karibu sana katika ulimwengu wetu.
Kama umesoma Bsc with first degree unaweza apply medicine all the bestHello habari
Nilikua nauliza mtu ambaye ana bachelor degree moja na Advanced level alisoma CBG anaeza soma bachelor ingine ya afya mfano pharmacy , Radiotherapy, MD etc?
And je cheti cha bachelor kinaeza saidia kwenye admission kutokana na hio CBG?
Inawezekana?
Hapan tcu kama una bachelor ya chemistry au una bachelor ya bioz unaqualify kuanza md inamanisha kwamba unapiga Md kama umepiga bachelor kati ya kemia au biozi. Na unakuwa na sifa za kujiunga md au hamfatilii wazewadmission ya bachelor inategemea cheti cha a-level,
MD ni lazima pcb kwa guidelines za sasahivi labda bachelor environmental health science
Screenshot au piga picha mahali tcu walipoandika hiyo qualificationHapan tcu kama una bachelor ya chemistry au una bachelor ya bioz unaqualify kuanza md inamanisha kwamba unapiga Md kama umepiga bachelor kati ya kemia au biozi. Na unakuwa na sifa za kujiunga md au hamfatilii wazew
We jamaa mayb kwa hii ya sasa kama wamebadir ila miak ya 20/19 ilikuwa ivyoScreenshot au piga picha mahali tcu walipoandika hiyo qualification
2019 kurudi nyuma ilikuwa inawezakana kusoma degree ingine yeyote ya afya iwapo una degree ya physics, chemistry, mathematics, biology na zoology. Ndio itakayotumika kama entry aualification.Hello habari
Nilikua nauliza mtu ambaye ana bachelor degree moja na Advanced level alisoma CBG anaeza soma bachelor ingine ya afya mfano pharmacy , Radiotherapy, MD etc?
And je cheti cha bachelor kinaeza saidia kwenye admission kutokana na hio CBG?
Inawezekana?