Kusomesha mtoto mpaka ajitegemee ni 20 years. Kama huna Assets Usijiingize gharama mapema ukashindwa kufanya maendeleo mengine kama ujenzi

Kusomesha mtoto mpaka ajitegemee ni 20 years. Kama huna Assets Usijiingize gharama mapema ukashindwa kufanya maendeleo mengine kama ujenzi

Mtoto wa waziri anapandishwa kwenye majukwaa ya siasa sasa kulikuwa na aja gani kumpeleka feza school....pumbavu sanaa kubaniana fursa
 
Duh basi ndoto yako ni ndogo Sana nenda Kaote tena

Isijekuwa hajui hata mwanae ataajiriwa wapi baada ya kumaliza shule.

Ndio wale wazazi wanamshauri mtoto aende akajitolee sehemu miaka kibao
 
Duh basi ndoto yako ni ndogo Sana nenda Kaote tena
Yaani kwamba unashindwa kujenga,kununua mashamba,kuishi vizuri kwa sababu unasomesha EM????unajisikiaje unatoka kwenye mizunguko yako unakutana na mwanao njiani kwa miguu ana njaa anatoka miembeni shule ya msingi???
 
Mtoto asome shule ya karibu na unapoishi. Kutembea kwa miguu ni tiba ya moyo
 
Nauliza, hivi kwa nini Serikali inayuachia mzigo wote wa kusomeasha watoto wetu uwe wa kwetu pekee?
Binafsi natumia 60% ya kipato changu kiwasesha wanangu, hii si HAKI - hawa watoto ni mali ya mama Tanzania.

Wakau katikanhiyo 60% nasi wao wanhetoa 30% na mimi 30%.

Naongelea Shule na vyuo vya za Private.
 
Mtoto asome shule ya karibu na unapoishi. Kutembea kwa miguu ni tiba ya moyo
Mtoto WA shule ya msingi hata bila kutembea hiyo michezo Yao Tu ni muda wote kuruka ruka!!
Kayumba sio mbaya,lakini mwanangu hapana!!!
 
Nauliza, hivi kwa nini Serikali inayuachia mzigo wote wa kusomeasha watoto wetu uwe wa kwetu pekee?
Binafsi natumia 60% ya kipato changu kiwasesha wanangu, hii si HAKI - hawa watoto ni mali ya mama Tanzania.

Wakau katikanhiyo 60% nasi wao wanhetoa 30% na mimi 30%.

Naongelea Shule na vyuo vya za Private.

Yaani serikali ikulipie ada za watoto wako wanaosoma kwenye shule za private? Je shule za serikali hujaziona?

Kwa nini usiwapeleke wanao kwenye shule za serikali ?
 
Kuna awamu Moja imepita,
imeharibu Sana thamani ya elimu Kwa watoto wetu
Hakuna cha awamu wala nini, dunia sasa hivi imebadilika sana, elimu imebadilika duniani kote sababu ya uwepo wa teknolojia.
 
Hizi shule za chini hakikisha anasoma ili apande darasa, na ajue hisabati na kingereza na mtafutie tuition nzuri hata kama akisoma cheap schools , ana nafasi ya kuwa vizuri kwenye elimu kama akiyajua vizuri hayo masomo mawili tu.

Usije ukajikuta kwa miaka 20 mfululizo unaingia madeni kwa watu tofauti tofauti kila mwaka kwa ajili ya kulipa school fees tu huku wewe unakula dagaa tu kwenye nyumba mbovu ya kupanga

Kama kipato chako kidogo chini ya milioni mbili kwa mwezi achana kabisa shule za gharama kwa watoto wako. Kumbuka katika Maisha Kusomesha watoto ni almost miaka 20… hapo katikati lazima ujenge, ununue properties, uwekeze katika passive income, uende holidays/retreats, uwe na gari, utimize majukumu ya familia na jamii.

Na bado Elimu useful katika maisha mostly inapatikana kwenye college nzuri/ institutions au Vyuoni, ndio maana nasisitiza wazazi wafocus kwenye uwekezaji wa ada kubwa mtoto akifika katika Elimu ya chuo au elimu ya technical skills. baada ya mtoto kuhitimu kidato cha 4 au 6.

Mtoto aliyesoma feza kuanzia primary mpaka secondary kisha chuo akaenda kusoma chuo kibovu, na kozi mbovu. anakosa advantage kwenye ushindani wa ajira ukimlinganisha na mtoto aliyesoma kayumba kisha akapata CPA. yeye anakuwa na advantage kwenye soko la ajira sababu ya hizo CPA bila kujali amesoma shule za kayumba.

Soko linatazama ulichopata mwisho wa safari kama riadha vile, halitazami kama zamani ulisoma feza
Unamsomesha mtoto primary had A level, shule zenye ada kama ya university au zaidi, then akienda university anakutana na vichwa shapu kuliko yeye vilivyo ungaunga primary na secondary za kayumba :CaptFailFish:
 
Nauliza, hivi kwa nini Serikali inayuachia mzigo wote wa kusomeasha watoto wetu uwe wa kwetu pekee?
Binafsi natumia 60% ya kipato changu kiwasesha wanangu, hii si HAKI - hawa watoto ni mali ya mama Tanzania.

Wakau katikanhiyo 60% nasi wao wanhetoa 30% na mimi 30%.

Naongelea Shule na vyuo vya za Private.
Elimu ni bure(shule za serikali). Hiyo 60% umeitaka mwenyewe. Ila kwa walioamua kuipa serikali mzigo, wamewapeleka watoto kayumba.
Miaka 15 ijayo, wanakutana pale psrs interview, na wanaajiriwa same salary 😄
 
Unamsomesha mtoto primary had A level, shule zenye ada kama ya university au zaidi, then akienda university anakutana na vichwa shapu kuliko yeye vilivyo ungaunga primary na secondary za kayumba :CaptFailFish:
Na haiishii hapo, tunakutana nao tena kwenye interview, tunawaungisha tera tena dadek 😄 🤣.
Mungu hakunyimi vyote...
 
Mambo yamewaendea mrama hawataki kukubali wanatafuta sababu kuonesha uzuri wa Kayumba dhidi ya EM!
Ukiwa na uwezo ndugu, unapeleka tu hata ISM, or cambridge(kila mtu anawish hivyo)...
ila kama wewe ni mfanyakazi wa halmashauri, unawatoto wa 4, unapambana kuwapeleka EM wote, unashindia mihogo...then goodluck
 
Back
Top Bottom