Kusomesha mtoto mpaka ajitegemee ni 20 years. Kama huna Assets Usijiingize gharama mapema ukashindwa kufanya maendeleo mengine kama ujenzi

Ukiwa na uwezo ndugu, unapeleka tu hata ISM, or cambridge(kila mtu anawish hivyo)...
ila kama wewe ni mfanyakazi wa halmashauri, unawatoto wa 4, unapambana kuwapeleka EM wote, unashindia mihogo...then goodluck
Hapa nimekuelewa!!
 
Mtoto WA shule ya msingi hata bila kutembea hiyo michezo Yao Tu ni muda wote kuruka ruka!!
Kayumba sio mbaya,lakini mwanangu hapana!!!
Jamaa anamaanisha kama kipato kidogo usilazimishe
 
Mawazo ya kibongo bongo haya. Ajira ... ajira... Tunasoma ili tuelimike siyo ili tupate ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…