Kusubiria matokeo ya Mechi ya Mume Mtemi na Hawara Mlaini wakati unajua Hawara Mlaini atagawa tu Uroda ni kupoteza muda

Kila la Kheri wale ambao Jumatano hii wana Jukumu la Kitaifa na kuanzia Wiki mbili zijazo watakuwa na Jukumu la Nje.
Kama hawara mlaini wetu Simba anavyotupa points zetu tatu kila tukikutana.

Hajui kubana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…