mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa uweza mkuu, Mwenyezi Mungu ni mkuu mno. Aliwatambua na kuwateua hata kabla hamjazaliwa.
Naamini hakuna kiongozi yeyote anapata uongozi kwa mapenzi yake mwenyewe bali makusudi ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi. Uongozi ni fulushi zito mnoo ambalo kama si kwa msaada wa Mwenyezi Mungu hakuna awezae kufanikiwa.
Wananchi tuna kila sababu ya kuwaombea rehema, fadhili, toba na neema viongozi wetu hasa wa ngazi kuu kiutawala.
Viongozi wanapitia magumu mengi, lawama nyingi, mateso mengi ,manung’uniko mengi ,Vikwazo vingi, Fitina, Faraka,Wivu na husuda nyingi mnoo..Si kazi rahisi kuwa Rais, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu, Jaji mkuu, Spika wa Bunge na
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awawezeshe viongozi wetu walioteuriwa na Mungu ktk ngazi zote za uongozi wetu kufanya utendaji, maamuzi ya haki na hekima kwa manufaa ya nchi na taifa.
Miiko ya uongozi ina maudhui sahihi sana ktk kuhakikisha maamuzi ya viongozi wetu ktk nyanja mbalimbali yanafanyika kwa maslahi mapana ya nchi na taifa. Miiko ya uongozi yahusisha utakaso na utakatifu wa kisiasa.
Si jambo la kupuuza (maandiko matakatifu kupitia kitabu cha Nabii Amosi 5:21) yanasema mwenyezi Mungu anafurahishwa sana na haki, kweli na utakatifu wa viongozi.
Ni wakati sasa wa viongozi wetu wakuu kumuomba mwenyezi Mungu awajalie ujasiri na hekima ya kufanya maamuzi sambamba na Mapenzi yake Mwenyezi Mungu, miongozo ya kikatiba.
Taifa letu lina upendeleo sana, Mwenyezi Mungu ana kusudi kubwa na taifa letu. Amehifadhi tunu nyingi na utajiri mkubwa mnoo ndani ya nchi yetu. Hakika sisi sio maskini kabisa.
Tu matajiri mnoo ndio maana wakoloni wapya na wa zamani wanatumendea mate kila leo..
Wakoloni wapo tayari watuvuruge kupitia kinachoitwa demokrasia, Haki za binadamu na misaada yenye masharti ya kutufanya watumwa na maskini wa fikra.
Viongozi nyenyekeeni mbele za Mungu atawapa majibu ya Mambo magumu msioyajua na kuwavusha ktk nyakati ngumu na zito ambazo kwa akiri zenu hamuwezi.
Viongozi msibebe utukufu wa Mungu wakati wowote, Mwenyezi Mungu ana wivu mnoo na utukufu wake.
Msiache kuwa wanyenyekevu, Msiache kufanya dua na kupiga magoti mbele zake. Ulinzi wake kwenu hakuna mwanadamu awezae kuushinda. Simameni ktk kusudi.
Nawakirisha kwa unyenyekevu