Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Ninaimani ulithaminisha na saizi pia. hahaha
sio lilonipeleka hilo lengo langu kusukwa,na laitani angenambia wanaume kwanza nisinge kubali na hata Mumewangu
angejua mwanamme asinge kubali,nimejua baada ya kufika na alisha toa elfu 10 deposit jana yake ili waje mapema
wanisuke wamalize mapema..
 
harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....

Bora umekimbia maana yale madudu yangeanza kukupa amsha amsha baadae ingekua balaa
 
Kwani mwanzoni kabla ya hiyo miaka kumi ulipokuwa unakwenda hali haikuwa hivyo, au umesahau wak=livyokuwa wanakugusagusa na madudu yao? Ingefaa urudi tena labda umesahau raha ulokuwa unaipata zamani. Halafu kwa nini mumeo alikukataza, kwani nae anajua kinachofanyika kwa wamasai?
Vile vile inavyoonekana shoga yako anapenda saaaana kuguswaguswa na madudu pia anapenda harufu ya kiume.
 
Mbona huwa unayanyonya ayo madudu kwani husikiagi harufu? ?
 
Noomba usome vizuri,mumewangu hakutaka nisuke hata sikumoja sababu nywele zangu ndefu sana
Bora umekimbia maana yale madudu yangeanza kukupa amsha amsha baadae ingekua balaa
Mungu aninusuru,hili na jengine...
 
mmmm shosti Aibu naanzaje kusema maneno hayo? kua madudu yenu yafungeni,tena yanagusaaa marefuuuuuu ptuuuuu!!!
staki hata kukumbuka..
Ndio haiwezekani kuwabadilishia ili kuwapa vibamia uamuzi uliouchukua inabidi uheshimiwe.
 
Hongera sana kwa kuithamini ndoa yako ikiwemo na kuwa mbali na 'madudu' ya wengine.
Maisha marefu ya ndoa yako nakutakia.
 

Acha kuangaika mama, ulisha sema nyewele zako ni ndefu sasa unatafuta nini la ziada. Alafu hao wamasai watano walikuwa wanakusuka nyelewe za bila ya rasta?(nahisi kama umepika data)
 
Ulitaka vya rahisi nenda ndio saba. Mbona kuna mabinti wanasuka vizuri sana hizo nywele kindondoni ila bei yake ni ndefu ingawa unapendeza kweli. ukipenda vya rahisi ndio mambo kama hayo
 
Najaribu Ku imagine pale angekuwa ananyolewa mwanaume halafu kazun
gukwa na NDITO hao watano huku ngomosi ziko wazi hahaha nadhani hao ndito wangekuwa mamilionea hahahahah
 
Ulitaka vya rahisi nenda ndio saba. Mbona kuna mabinti wanasuka vizuri sana hizo nywele kindondoni ila bei yake ni ndefu ingawa unapendeza kweli. ukipenda vya rahisi ndio mambo kama hayo
Shosti Pesa haijakua Tatizo Alhamdulillah namshukuru mwenyezi mungu kwa hilo,ila yule shogangu ndio aliposuka huko kwa wamasai na mie hata saloon mara moja moja sana kwenda,hua tuna mdada anafanya kazi saloon anakuja kutufanyia
kila kitu nyumbani sasa sijui hata wanakosuka vizuri wapi,na ilitokea kama ajali tuu..
 
Najaribu Ku imagine pale angekuwa ananyolewa mwanaume halafu kazun
gukwa na NDITO hao watano huku ngomosi ziko wazi hahaha nadhani hao ndito wangekuwa mamilionea hahahahah
lol pangekua hapatoshiii.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…