Nipotoka pale nikaenda saloon,usiku ndio aliniuliza why sikusuka? nikamwambia "Habibi najua hupendi ndio mana sijataka
kukukera japokua umenipa kubali kwa ridhaa yako lakini sikupenda nikukere wewe ili nifurahi mie" lakini moyoni nawalani
Lol! Angejuaaaa?? Umemjibu vyema
wale wamasai...
Mmmmm...........kwenye maelezo yako nimechukua maneno mawili harufu na madudu sasa ungependa turekebishe kitu gani dada ili tusikupoteze tena mteja wetu maana ktk wamasai watano mm nilikua mmoja wao nieleze ili tusirudie tena
Nimesha change mind sisukwi tena kwa sasa....lolNIMPENDENANI njoo nikisuke mimi mhadzabe ninanukia fresh tu halafu ya nyama pori[emoji3]
Hata nilikua siyaangaliii...nimekunja USO....Ungeyapiga picha kwa siri uje utuoneshe
Ulihisi kuingizwa ingizwa nn ukaona umuwahi shemeji kabla mashetani hayajapanda[emoji23] [emoji23]harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....
Walikuwa wanajaribu kumtia nyege kianaUna bahati walikuwa wanakupigia hesabu kikwao...lazima wangekumega
Ndo maanake....chezea wa masai weweWalikuwa wanajaribu kumtia nyege kiana
Mbona baadhi ya wanawake wanatembea hivyohivyo?Sina hamu nao nilikua nawaona watu wenye adabu zao kumbe wanatenbea bila Boxer ptuuuuuuuu..
HahahahaNdo maanake....chezea wa masai wewe
Mmmm Staki tena kusukwa nimesha ghairi mwaya...NIMPENDENANI njoo nikisuke mimi mhadzabe ninanukia fresh tu halafu ya nyama pori[emoji3]
mwanamke i can undestand lakini mwanamme mmmmmm...staki hata ku think...Mbona baadhi ya wanawake wanatembea hivyohivyo?
Ndiyo dushe litarefuka ukilibanabana na boxer litapungua ubora wake lengthwise na performancewise.mwanamke i can undestand lakini mwanamme mmmmmm...staki hata ku think...
nilivyo chukia nakuona dhiki nafsi yangu sikutaka hata kuwatazama sura zao.....achiliambaliUngeyapiga picha kwa siri uje utuoneshe
Mwenyezi mungu Amsamehe kwa kila jambo, trust me wananuka Vibaya sijui,nimeshindwa kuhimili it was too much for me to take...Kuna dada yangu alikua anawaambia waende bafun wakaoge kabla ya kumsuka na alikua anagombana nao wakitemea mate mikononi ili walainishe sijui ni nywele au mikono!!!R.IP Sisy
Ni washenzi wa tabia halafu wanaonge kikwao wanajitia busy na hawakupi hata nafasi yakujisogeza,halafu anakwambia weka kichwa hapa kwenye goti nilimwambia no,ile harufu ninge zimia...Hahahaha eti dudu linakugusa hao walikufanyia makusudi jamani kha!
nimewashiba mie wale watu hata staki tena,nikimuona mmasai roho inanipasuka nawaona wote ndio wale wale..Duh ile style yao ya kukaa mmh hapana