Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Nipotoka pale nikaenda saloon,usiku ndio aliniuliza why sikusuka? nikamwambia "Habibi najua hupendi ndio mana sijataka
kukukera japokua umenipa kubali kwa ridhaa yako lakini sikupenda nikukere wewe ili nifurahi mie" lakini moyoni nawalani
Lol! Angejuaaaa?? Umemjibu vyema
wale wamasai...
 
kwenye maelezo yako nimechukua maneno mawili harufu na madudu sasa ungependa turekebishe kitu gani dada ili tusikupoteze tena mteja wetu maana ktk wamasai watano mm nilikua mmoja wao nieleze ili tusirudie tena
Mmmmm...........
 
harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....
Ulihisi kuingizwa ingizwa nn ukaona umuwahi shemeji kabla mashetani hayajapanda[emoji23] [emoji23]
 
Kuna dada yangu alikua anawaambia waende bafun wakaoge kabla ya kumsuka na alikua anagombana nao wakitemea mate mikononi ili walainishe sijui ni nywele au mikono!!!R.IP Sisy
 
Ungeyapiga picha kwa siri uje utuoneshe
nilivyo chukia nakuona dhiki nafsi yangu sikutaka hata kuwatazama sura zao.....achiliambali
kuwapiga picha nilihisi sijui wananionaje au wananichukuliaje...
 
Kuna dada yangu alikua anawaambia waende bafun wakaoge kabla ya kumsuka na alikua anagombana nao wakitemea mate mikononi ili walainishe sijui ni nywele au mikono!!!R.IP Sisy
Mwenyezi mungu Amsamehe kwa kila jambo, trust me wananuka Vibaya sijui,nimeshindwa kuhimili it was too much for me to take...
 
Hahahaha eti dudu linakugusa hao walikufanyia makusudi jamani kha!
Ni washenzi wa tabia halafu wanaonge kikwao wanajitia busy na hawakupi hata nafasi yakujisogeza,halafu anakwambia weka kichwa hapa kwenye goti nilimwambia no,ile harufu ninge zimia...
 
Back
Top Bottom