Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Mshukuru Mungu kwa hao wa kike kwanza , muombe wa kiume, afu ujaribu kupata ushauri wa daktari...kila laheri
 
Jua kwanza cku za hatari za mke wako za kupata mimba....afu kuwa mchunguzi wa ute ute kabla hujamwingilia. ...cku ute ute ukiwa unavutika sana ndo muda sahihi wa kumuingilia. ..pia upende doggy style ukiwa una piz. .hii itasaidia kuzisukuma mbegu kwa ndani zaidi...maana sifa ya ya Y huwa linaenda taratibu sana compare na X yenye speed....pia acha kunywa viroba na pombe kali...finally hata usipopata wa kiume mshukuru Mungu kwa hao wa kike watakuja kukusaidia sana ..wa kiume co ajabu ukazaa jambazi au fisadi
 
You're more likely to conceive a boy if... You have sex on the day of ovulation, as male sperm are thought to swim faster and reach the egg first. You reach orgasm before your partner, as this releases an alkaline fluid, thought to be more male-sperm friendly than the vagina's natural acidity.
 
Ktk Ushuhuda Wa Wengi Waliokuwa Wakihtj Mtoto Wa Kiume, Walimwomba Mungu Na Mungu Akawapa. Lakini Walikua Na Sbb Nzuri, Na Kumshawishi Mungu Ili Awape. Sasa Wewe Unataka Mtoto Wa Kiume Kwa Ajili Ya Nini?? Kwa Ufafanuz Zaid Pga Cm 0786100772, 0757856336
 
Habar zenu wana jf ni saidieni ndugu zangu nifanyaje ili nipate mtoto wakiume kwasababu ninawatoto wa kike tu naombeni msaada

Anayetungisha mimba ya mtoto wa kiume au wa kike ni wewe baba! Sio mwanamke

Cha kufanya hakikisha siku ya ovulation unakutana na mkeo, mkiwa fresh kabisa. Nina imani mtakua na chance kubwa ya kutengeneza mtoto wa kiume
 
mkiwa fresh kbs unamaanisha nn mkuu
 
You're more likely to conceive a boy if... You have sex on the day of ovulation, as male sperm are thought to swim faster and reach the egg first. You reach orgasm before your partner, as this releases an alkaline fluid, thought to be more male-sperm friendly than the vagina's natural acidity.

Kaka umeandika vizuri sana ila lugha ya kigeni wengine hawakuelewi.
 
Kuna kifaa kinaitwa ovulation kiti, hiki ukinunua kina uwezo wa kuitambua siku ya ovulation. Ukimtomba mkeo siku ya ovulation utapata mtoto wa kiume
 
mkiwa fresh kbs unamaanisha nn mkuu

Msiwe mmelewa, Msiwe na njaa, Msiwe wachovu...... Muwe fresh, hasa kwa mwanaume ili mbegu zake ziwe na nguvu ya kuogelea fasta. Kumbuka mbegu za kiume zinaogelea faster zaidi kuliko za kike
 
Jua kwanza cku za hatari za mke wako za kupata mimba....afu kuwa mchunguzi wa ute ute kabla hujamwingilia. ...cku ute ute ukiwa unavutika sana ndo muda sahihi wa kumuingilia. ..pia upende doggy style ukiwa una piz. .hii itasaidia kuzisukuma mbegu kwa ndani zaidi...maana sifa ya ya Y huwa linaenda taratibu sana compare na X yenye speed....pia acha kunywa viroba na pombe kali...finally hata usipopata wa kiume mshukuru Mungu kwa hao wa kike watakuja kukusaidia sana ..wa kiume co ajabu ukazaa jambazi au fisadi
Mkuu marekebisho,umesema mbegu Y inaenda taratibu kitu ambacho si kweli Y ndo inayoenda fasta na kuwahi kufa kwa hiyo mtoto wa kiume ni exactly ovulation day kwa sababu Y itaenda mbio na kukuta yai linasubiria pale getin XY a boy
 
Habar zenu wana jf ni saidieni ndugu zangu nifanyaje ili nipate mtoto wakiume kwasababu ninawatoto wa kike tu naombeni msaada

Hahahah
Hivi mpaka karne hii kuna watu wanadhani waje zao ndio wanazaa wa kike tupu?????

Ndugu mwanaume ndio anayeamua jinsia ya mtoto. Pia timing ya "kufahamiana " nayo inachangia.
 
Kuna imani kwamba ukiona unazaa watoto wa jinsi moja baso omba msaada kwa mwenzio anayepata ile unayoikosa.

Kuna mdau namfahamu yeye ni watoto wa kiume tu....Nadhani anaweza kutoa msaada akiombwa!!
 
Habaru zenu wana Jf,

Nisaidieni ndugu zangu,

Nifanyaje ili nipate mtoto wa kiume kwasababu ninawatoto wa kike tu.

Naombeni msaada

natamani tuongee kwenye SIMU live ila sijui nifanyeje coz na Mimi ulikuwa hivyo ila sasa ninasuluisho LA kutosha
 
Mshukuru MUNGU hata kwa hao watoto wa kike, mtoto ni mtoto tu, ishu ni malezi.
 
Back
Top Bottom