Habari wanaJF,
Mtu yeyote ambaye Mungu Amemweka kufanya kazi ya Mungu na Mungu Akampatia Roho Mtakatifu ndani yake huwezi kumuua ni mpaka Mungu Aruhusu.
Kwa hiyo tujihadhari unaweza ukawa unanifuatilia mimi au yule na kumbe nina Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume wa Mungu. Watu wenye Roho Mtakatifu kwa kupewa mara ya pili waache kama walivyo ukiwafatilia utapatwa na mabaya na yumkini ukafa kabisa.
Usimfuatilie mwenzako shughulika na namna ya kuwa na maisha bora na zaidi namna ya kupata uzima wa milele ambao unapatikana kwa kumkubali Yesu Kristo kwamba ni mkombozi wangu na wako wa kututoa dhambini.
Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Ubarikiwe sana.