Kutaka kumuua mtu mwenye Roho wa Mungu haiwezekani ni mpaka Mungu aruhusu

Kutaka kumuua mtu mwenye Roho wa Mungu haiwezekani ni mpaka Mungu aruhusu

Amenn!! Amen!! Mungu ana makusudi yake hivo shetani na mawakala wake washashindwa kitambo!!
 
Huyo mungu mpumbavu sana

Yaani anakaa kutoa ruhusa nani auawawe?

Mungu gani mpumbavu namna hiyo?

Anatuma watu,aliongea nao lini hao watu?

Ni watu makatili wanaoua kwa ukatili wao binafsi halafu wanasingizia walitumwa na Mungu ambae kwanza hayupo hajawahi ongea na yeyote

Haya ndio matatizo,dini ndio zinazoleta the most human sufferings kama hivi

Just imagine neno "mungu" limempa huyu mtu ujasiri wa kuongelea uhalali wa "kuua" wanadamu wengine

Just imagine!
mungu unayemtaja sina shida nae, ila huyo wa mstari wa 3 be careful and watch it He is real and you can face consequences.
 
Watanzania tufanyeni Kazi , Mungu yupo tuu, Ila tusimtumie kutishana 😀😀😀 mikwara hyo haina tija,
 
Ukiona mtu amebarikiwa na MUNGU Jambo fulani wewe jiunge naye na sio ushupaze shingo kumharibia...
Hata kama huyo mtu sio rafiki yako wewe mtakie baraka zaidi
 
Hakuna mtu yeyeto anaeweza kuutoa uhai wa mtu pasipo Mungu kuruhusu. Mchawi hana uwezo wa kuuwa mtu bali uwezo alionao ni wa kumficha mtu asionekane machoni pa watu lakini wasio wa mwilini wao umuona.
 
Hakuna mwenye roho mtakatifu hata mmoja, ni maujanja tu katika ulimwengu wa roho. Nyakati za mwisho utakapomjua Mungu wa kweli utashangaa. Enyi wana wa Dunia, hakika nawaambia bado hatujamtambua Mungu wa kweli, tusubiri mpaka nyakati za mwisho.
 
Hakuna mwenye roho mtakatifu hata mmoja, ni maujanja tu katika ulimwengu wa roho. Nyakati za mwisho utakapomjua Mungu wa kweli utashangaa. Enyi wana wa Dunia, hakika nawaambia bado hatujamtambua Mungu wa kweli, tusubiri mpaka nyakati za mwisho.
Mungu hututaka sote tuwe wake, wapo wenye majivuno, jeuri na kiburi; ambao hawaamini Mungu, au wapo nusunusu; yaani kwa shetani wapo na kwa Mungu wapo. Wale ambao wameamua kufuata njia za Mungu, hao Mungu hawaachi; kumbe inaposemwa Mungu ni muadilifu, hamuaminj? Hapahapa, muda huuhuu, kuna watu wa Mungu, na hata ikitokea leo ndio siku ya mwisho, wao wapo tayari kuondoka na mwana wa Adamu. Tusidanganyane kuwa watu watamjua Mungu siku za mwisho tu, hata sasa wapo. Lakini kuona haya ni vigumu kwa macho ya ki-binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakatifu na wenye Roho wa Mungu wapo na walikuwepo toka uumbaji ni sawa na wazinzi, makahaba, wezi na walevi walivyo.

Wanaoamini katika Mungu wapo toka enzi na enzi na wapumbavu kama akina kiranga wanaoamini mioyoni mwao kuwa hakuna Mungu walikuwepo toka enzi na enzi (Hii kuita wapumbavu ni Biblical samahani Kiranga kwa hilo) ni sawa na wewe unavyoikuza na kuiamini/kufanya ngono ni kitu cha maana na kitu kikubwa kwenye threads na post zako humu JF ila wengine wanakuona mshamba na limbukeni tu.

Nakushauri acha ujuaji na acha wenzako waamini wanachoamini. Tusifokeane.
Kiranga
 
Unamuita huyo mwehu anayetaka tumthibitishie Mungu physically kwa kumleta kwake na kumuambia huyu ndiye Mungu wakati yeye kashindwa kututhibitishia na kutuletea Upepo, Oxygen, IQ na ufahamu physically. Ana disorder kichwani jamaa.
 
Umesema vyema ila umeharibu hapo kwa yesu, wengine tunamtegemea Mungu.
 
Back
Top Bottom