Ni haki yako kuamini unachotaka ila umuache mwenzio pia aamini atakacho.Afrika tuna mambo mengi yaani mpaka siyo poa yaani. Hata sijui tulifikaje hapa.
Ukigeuka huku ushirikina. Ukigeuka kwingine huko kuna watakatifu wenye roho wa Mungu. Lakini watu wetu bado wamedumazwa na umasikini wa kutisha unaotokana na ubinafsi, ufisadi wa kinyama na uongozi mbovu pamoja na mifumo mfu.
By the way, kifo kiko pale pale. Na sijui kama kuna tofauti yo yote ukifa leo au ukifa baada ya miaka elfu moja....[emoji51][emoji51]
Uko sahihi na ndivyo ilivyo. Ukileta wazo hapa hadharani tegemea misimamo ya kila aina. Msimamo wako ukiitwa wa "kishamba" (japo mimi sijafanya hivyo) usighafilike bali utetee.Ni haki yako kuamini unachotaka ila umuache mwenzio pia aamini atakacho.
Huo sio ushamba ni msimamo tu, kama nawe ulivyo na msimamo wako, vinginevyo hata wewe utakuwa ni mshamba kwake.
Watakatifu na wenye Roho wa Mungu wapo na walikuwepo toka uumbaji ni sawa na wazinzi, makahaba, wezi na walevi walivyo.Afrika tuna mambo mengi yaani mpaka siyo poa yaani. Hata sijui tulifikaje hapa.
Ukigeuka huku ushirikina. Ukigeuka kwingine huko kuna watakatifu wenye roho wa Mungu. Lakini watu wetu bado wamedumazwa na umasikini wa kutisha unaotokana na ubinafsi, ufisadi wa kinyama na uongozi mbovu pamoja na mifumo mfu.
By the way, kifo kiko pale pale. Na sijui kama kuna tofauti yo yote ukifa leo au ukifa baada ya miaka elfu moja....[emoji51][emoji51]
Wala siyo ujuaji bali ni mitazamo tu tofauti maana hakutakaa kuwe na msimamo unaokubalika na wote. Unachokiona ushamba kwako kwa mwingine sivyo (and vice versa). Hata msimamo wa Kiranga hakuna sababu ya kuuita kuwa ni wa kipumbavu labda kama unautazama kupitia katika bias ya lenzi yako!Watakatifu na wenye Roho wa Mungu wapo na walikuwepo toka uumbaji ni sawa na wazinzi, makahaba, wezi na walevi walivyo. Wanaoamini katika Mungu wapo toka enzi na enzi na wapumbavu kama akina kiranga wanaoamini mioyoni mwao kuwa hakuna Mungu walikuwepo toka enzi na enzi (Hii kuita wapumbavu ni Biblical samahani Kiranga kwa hilo) ni sawa na wewe unavyoikuza na kuiamini/kufanya ngono ni kitu cha maana na kitu kikubwa kwenye threads na post zako humu JF ila wengine wanakuona mshamba na limbukeni tu. Nakushauri acha ujuaji na acha wenzako waamini wanachoamini. Tusifokeane.
Hahaaaa, haina shida mkuu nimekupata. Kuwa na siku njema mkuu.Wala siyo ujuaji bali ni mitazamo tu tofauti maana hakutakaa kuwe na msimamo unaokubalika na wote. Unachokiona ushamba kwako kwa mwingine sivyo (and vice versa). Hata msimamo wa Kiranga hakuna sababu ya kuuita kuwa ni wa kipumbavu labda kama unautazama kupitia katika bias ya lenzi yako!
Mimi nimelitazama hili katika lensi tofauti kidogo na wewe ambaye umelitazama kimalimwengu zaidi. Kwa kiasi fulani huwa nakerwa na tabia ya sisi Waafrika kujifanya kuwa ndiyo tunamfahamu sana Mungu wakati matendo yetu mara nyingi wala hayafanani na uungu wetu. Wakati jamii kama Wajapan wanapeta tu na Ushinto wao. Ni kama vile ushirikina na hizi dini za kuletewa hizi zimetudumaza kiaina...
Jaribu kumkanya nabii au mtume hawa wa kisasa hawa. Utaambiwa kuwa huyo ana roho wa Mungu hata kama mnaona kabisa kuwa anakosea.
Ni hayo tu kamanda. Hatufokeani!
Mkuu, hili uliloandika hapa linawagharimu wengi sana pasipo kufahamu. Wenye mioyo myepesi (sio migumu), neno hili litawasaidia sana, maana ni fundisho kubwa sana.Habari wanaJF.
Mtu yeyote ambaye Mungu Amemweka kufanya kazi ya Mungu na Mungu Akampatia Roho Mtakatifu ndani yake huwezi kumuua ni mpaka Mungu Aruhusu.
Kwa hiyo tujihadhari unaweza ukawa unanifuatilia mimi au yule na kumbe nina Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume wa Mungu. Watu wenye Roho Mtakatifu kwa kupewa mara ya pili waache kama walivyo ukiwafatilia utapatwa na mabaya na yumkini ukafa kabisa.
Usimfuatilie mwenzako shughulika na namna ya kuwa na maisha bora na zaidi namna ya kupata uzima wa milele ambao unapatikana kwa kumkubali Yesu Kristo kwamba ni mkombozi wangu na wako wa kututoa dhambini.
Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Ubarikiwe sana.
Ukiijua kweli,itakuweka huru.Mkuu, hili uliloandika hapa linawagharimu wengi sana pasipo kufahamu. Wenye mioyo myepesi (sio migumu), neno hili litawasaidia sana, maana ni fundisho kubwa sana.
Wengi hatujui uthamani wa binadamu kwa Mungu wetu, tunadhani tunaweza kumfanyia mwenzetu chochote (ikiwa hata kutoa uhai). Tunajiingiza kwenye mgogoro na Mungu wetu kwa kujitakia. Kama mleta mada alivyosema, kuna watu wameletwa kwa kazi za Mungu (sio lazima umuone anahubiri).
Je, hamjawahi kuona watu wananusurika katika matukio ya hatari kiajabuajabu? Ukiona hivyo, ujuwe kwenye tukio hilo alikuwepo mtu wa Mungu na hivyo kumuepusha huyo na wengine wakasalimika, asingekuwepo hakika wangeangamia wote
Mwanzo 18:24, je, akiwepo mmoja mwenye haki, utaangamiza kundi lote? Mwenyezi Mungu anatusamehe kwa ajili ya mtu mmoja tu mwenye haki.
Huyo mungu mpumbavu sanaHabari wanaJF,
Mtu yeyote ambaye Mungu Amemweka kufanya kazi ya Mungu na Mungu Akampatia Roho Mtakatifu ndani yake huwezi kumuua ni mpaka Mungu Aruhusu.
Kwa hiyo tujihadhari unaweza ukawa unanifuatilia mimi au yule na kumbe nina Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume wa Mungu. Watu wenye Roho Mtakatifu kwa kupewa mara ya pili waache kama walivyo ukiwafatilia utapatwa na mabaya na yumkini ukafa kabisa.
Usimfuatilie mwenzako shughulika na namna ya kuwa na maisha bora na zaidi namna ya kupata uzima wa milele ambao unapatikana kwa kumkubali Yesu Kristo kwamba ni mkombozi wangu na wako wa kututoa dhambini.
Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Ubarikiwe sana.
Habari wanaJF,