Kutaka kumuua mtu mwenye Roho wa Mungu haiwezekani ni mpaka Mungu aruhusu

Amenn!! Amen!! Mungu ana makusudi yake hivo shetani na mawakala wake washashindwa kitambo!!
 
mungu unayemtaja sina shida nae, ila huyo wa mstari wa 3 be careful and watch it He is real and you can face consequences.
 
Watanzania tufanyeni Kazi , Mungu yupo tuu, Ila tusimtumie kutishana 😀😀😀 mikwara hyo haina tija,
 
Ukiona mtu amebarikiwa na MUNGU Jambo fulani wewe jiunge naye na sio ushupaze shingo kumharibia...
Hata kama huyo mtu sio rafiki yako wewe mtakie baraka zaidi
 
Hakuna mtu yeyeto anaeweza kuutoa uhai wa mtu pasipo Mungu kuruhusu. Mchawi hana uwezo wa kuuwa mtu bali uwezo alionao ni wa kumficha mtu asionekane machoni pa watu lakini wasio wa mwilini wao umuona.
 
Hakuna mwenye roho mtakatifu hata mmoja, ni maujanja tu katika ulimwengu wa roho. Nyakati za mwisho utakapomjua Mungu wa kweli utashangaa. Enyi wana wa Dunia, hakika nawaambia bado hatujamtambua Mungu wa kweli, tusubiri mpaka nyakati za mwisho.
 
Hakuna mwenye roho mtakatifu hata mmoja, ni maujanja tu katika ulimwengu wa roho. Nyakati za mwisho utakapomjua Mungu wa kweli utashangaa. Enyi wana wa Dunia, hakika nawaambia bado hatujamtambua Mungu wa kweli, tusubiri mpaka nyakati za mwisho.
Mungu hututaka sote tuwe wake, wapo wenye majivuno, jeuri na kiburi; ambao hawaamini Mungu, au wapo nusunusu; yaani kwa shetani wapo na kwa Mungu wapo. Wale ambao wameamua kufuata njia za Mungu, hao Mungu hawaachi; kumbe inaposemwa Mungu ni muadilifu, hamuaminj? Hapahapa, muda huuhuu, kuna watu wa Mungu, na hata ikitokea leo ndio siku ya mwisho, wao wapo tayari kuondoka na mwana wa Adamu. Tusidanganyane kuwa watu watamjua Mungu siku za mwisho tu, hata sasa wapo. Lakini kuona haya ni vigumu kwa macho ya ki-binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga
 
Unamuita huyo mwehu anayetaka tumthibitishie Mungu physically kwa kumleta kwake na kumuambia huyu ndiye Mungu wakati yeye kashindwa kututhibitishia na kutuletea Upepo, Oxygen, IQ na ufahamu physically. Ana disorder kichwani jamaa.
 
Umesema vyema ila umeharibu hapo kwa yesu, wengine tunamtegemea Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…