Kutakuwa na surprise usiku wa kuamkia tarehe 29; Mabakabaka part 2

Kutakuwa na surprise usiku wa kuamkia tarehe 29; Mabakabaka part 2

Hakuna mtu muoga kama mtanzania, hata mimi ni muoga. Hao jwtz ndio waoga promax. Wao wana mafunzo ya kutumia silaha zote bunduki, makombora, mizinga na utaalamu wote wa kijeshi ila ni WAOGA hata kucomment mtandaoni dhidi ya ccm. Hilo jwtz kirefu chake ni
Jeshi la waoga Tanzania
Jeshi la wanaccm Tanzania
Jeshi la walanchi Tanzania
 
Maandamano yaanzie kanisa la st Joseph cathedral la posta kuelekea ikulu
Au msikiti wa kisutu kuelekea ikulu
Au kanisa la azania front kuelekea ikulu
Au stendi ya mwendokasi kivukoni kuelekea ikulu
 
Yaaan sijui kwanini.. Huwa nikisikia jambo baya lolote kuhusu Hawa mafirauni na wezi wa rasilimali zetu Huwa nafurahi kweli😁
Mimi naombea kikawakute chochote kibaya Hawa watekaji wote na wanaonyanyasa upinzani
 
Hivi wagombea wengine ni kina nani? Nisijeharibu kura....kuna samia na nani??? 🤔
20251023_033515.jpg
 
Asili ya Nyumbu ni waoga, hata nikiwa peke yangu naweza kuzitoa baru Nyumbu million 6 na zote zikatimua vumbi kwahiyo nazimudu Nyumbu zote peke yangu
Yaani nguruwe awe bora kumzidi nyumbu anayejitafutia chakula chake mwenyewe?
Nguruwe kama wewe uhai wako umeshikiliwa na huyo Samia Suluhu Hassan anayekufuga na kukulisha makombo. Oktoba 29 hakuna makombo tena, sijui utakimbilia wapi?
 
Maneno tu ???watz tuache maneno bado hatuko siliazi narudia bado hatuko siliazi .... Tukiwa siliazi hata mda wa kuandika andika sijui kesho sijui fulan .. Hatutakua nao maana ni amsha amsha mpaka mafisadi wajambe
Ukiona hivyo basi ujue maisha ya Tanzania bado ni mazuri sana.
 
Nimeipata jioni hii ...

Mungu naye kashatoa ruhusa mapenzi yake yatimie
 
Back
Top Bottom