Kila mwili una nafsi tatu zenye bunge na halmashauri zake na vitengo vingine vyoteHivi wagombea wengine ni kina nani? Nisijeharibu kura....kuna samia na nani??? 🤔
Walisema kitambo tu fomu ni 1 ya urais,Hivi wagombea wengine ni kina nani? Nisijeharibu kura....kuna samia na nani??? 🤔
Wahuni lazima wapigwe show.Endeleeni kushupaza shingo.
Ukombozi huoooooo!
Hatutoi codes (mwisho wa thread).
Mkuu wewe umesaidia wangapi hadi leo?Sina wenzangu nikikutana na Nyumbu mnatimua vumbi mtandaoni lazima nikwambie ukweli , nyie nyumbu hamuwezi kutuaminisha mtaandamana wakati watekaji wanakuja wa 3 tu wanamchukua mtu katikati ya Nyumbu 50+ lakini Nyumbu zote 50 mnashindwa kumsaidia mwenzenu, nyie ndo mtaweza kuandamana?
Nyumbu we
1 SamiaHivi wagombea wengine ni kina nani? Nisijeharibu kura....kuna samia na nani??? 🤔
Nyumbu hawastahili kusaidiwa acha watembezewe kichapo , siku kichapo kikikolea zitatoa pembe zijitetee zenyeweMkuu wewe umesaidia wangapi hadi leo?
Lucha, sipati picha CCM wanakulipa shilingi ngapi. Hapa ndo naamini kweli kodi za wananchi tamu aiseeNyumbu mnadanganyana sana
Huu uzi sio level yako nenda kule kwenye posti za udaku na 🖕Asili ya Nyumbu ni waoga, hata nikiwa peke yangu naweza kuzitoa baru Nyumbu million 6 na zote zikatimua vumbi kwahiyo nazimudu Nyumbu zote peke yangu
MamaHivi wagombea wengine ni kina nani? Nisijeharibu kura....kuna samia na nani??? 🤔
Tulia we njuka maliza kwanza miaka miwili jf ndo uanze kutimua vumbi Nyumbu weweHuu uzi sio level yako nenda kule kwenye posti za udaku na 🖕
Mi namuelewa dayo na mwajuma sa itakuajeMama
Ukiwapigia kura ni bure, mshindi tayariMi namuelewa dayo na mwajuma sa itakuaje
Mshamba wewe hakuna mashindano hapa. Huu ndio ukomo wa uwezo wako wa kufikiri 🖕 watu wa aina yako mnastahili kuingia kwenye "ignore list"Tulia we njuka maliza kwanza miaka miwili jf ndo uanze kutimua vumbi Nyumbu wewe