Kutakuwa na surprise usiku wa kuamkia tarehe 29; Mabakabaka part 2

Mkuu wewe umesaidia wangapi hadi leo?
 
Asili ya Nyumbu ni waoga, hata nikiwa peke yangu naweza kuzitoa baru Nyumbu million 6 na zote zikatimua vumbi kwahiyo nazimudu Nyumbu zote peke yangu
Huu uzi sio level yako nenda kule kwenye posti za udaku na πŸ–•
 
Tulia we njuka maliza kwanza miaka miwili jf ndo uanze kutimua vumbi Nyumbu wewe
Mshamba wewe hakuna mashindano hapa. Huu ndio ukomo wa uwezo wako wa kufikiri πŸ–• watu wa aina yako mnastahili kuingia kwenye "ignore list"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…