Kutamalaki kwa Hekima: Serikali ijibu vipi Marekani na kwanini? Mtego wa Ikulu

Mauaji nchi hii yalikuwepo hata kabla wazazi wako hawajazaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee mwanakijiji.
Mimi naamin kabisa kuwa hata hatua hizi ilizochukua marekan ni matokeo tu ya mvurugano walionao wao huko kwao. Na tamanio la wao la kujaribu kupunguza kasi ya serikali hii ili nchi nyingine zisiige mfano huu. Kwa sabab Magufuli amevuma sana na kuna hatari ya nchi nyingi za kiafrica kuiga style yake ya uongozi.

Ni kawaida kwa nchi za Dunia ya kwanza hasa G7 kuzuia juhud zozote za kujikwamua. Na ni kweli wanaweza kuchukua hatua kali zaid apo baadae.

Ukiangalia kinachofanyika Rwanda na Uganda unaweza kuona kabisa kuwa akina Magufuli hawajafanya chochote cha kustaahili haya. Ukiona kilichotokea SA tangu uhuru wao na matukio ya serikali hii iliyoko madarakan huwez kuamin kuwa hakuna nchi iliyoweza kukemea matendo ya serikali hii ya SA.

Kwa hiyo ukitumia common sense kuwa kipi kibaya. Ni hofu tu ya nguvu waliyonayo CCM na influence yake katika ukanda huu. Akina Kikwete walikubali kupunguza nguvu ya CCM na ushawish wake na hata kuahid kuwa wataipumzisha madarakan ndo wakaonekana wa maana kwa wazungu. Lakini hawa akina Magufuli wanaiimarisha zaid na kuongeza influence yake kwa ukanda mzima.

Ukiangalia nchi kama Zambia na Malawi zimefanya kila kitu walichoambiwa na WB na IMF pamoja na nchi zote wahisan lakin hali yao ni mbaya mno. Wamebadilishana madaraka kutoka chama hiki kwenda chama kile lakin hali ya uchumi wa nchi ni mbaya kupitiliza kias cha sector nyet kuchukuliwa na china sababu ya maden. Ikiwemo airport, shirika la utangazaji nk.

Kwa hiyo utaelewa kuwa hili suala la kumzuia makonda ni kujaribu tu kumtisha Magufuli wakat pia wanaelewa kuwa Tz ni muhim kwa usalama wa ukanda huu.

Labda baadae nikipata muda tunaweza kujadili uhalali wa haya mazuio ya Marekani. Lakin tangu lin marekan ikaanza kuwasikiliza akina Zito na kukaa nao vikao kujadili namna nzuri ya kumbana Magufuli ambayo haitahatarisha Maslahi yao.

Kama ulikuwa hujui wamarekan na wa canada wameingia kwa kasi sana katika miaka hii minne ya Magufuli. Wamenunua biashara nyingi sana na kuanzisha mpya na nyingine kuweka ubia. Wanajaribu tu kumtisha ili aachie na zile sector wanazoshindwa kuzipata.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni rais jiwe kweli kweli,sipangiwi,makonda piga kazi,mie ndo najua kama unaua watu au huui.
 
Wewe mzee ni ndumilakuwili.Una ndimi mbili
 
Kwenye kuomba ushahidi hapo serikali ya magu haiwezi kubali kabisa bora wafunike kombe mwanaharamu apite
Ubalozi wa Us walikuwa wakitoa onyo mara kwa mara serikali yaetu ikawa inapuuzia
Kukandamizwa kwa democracy na mengine mengi tu yametufikisha hapa
Makonda nuksi kweli yajayo yatamfurahisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si uende ukamtoe madarakani kama unaweza badala ya kunabwabwaja hapa. Mihemko yako haitakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who is Paul Makonda to the extent we are impurifying our image as nation. In diplomatic way mh Paul Makonda anastahili kuchunguzwa na akibainika Basi afikishwe kwenye vyombo vya sheria. Hatuwez kuharibu mahusiano makubwa tuliyonayo Kama Taifa na nchi kubwa kiuchumi duniani Kama Marekani mahusiano yenye Maslahi makubwa kwa Taifa,Kwasababu ya Mh Paul Makonda.

Halafu Tuhuma ambazo anatuhumiwa hatusemi Ni za kweli lkn kiutaratibu anatakiwa achunguzwe Kwasababu huaribu taswira ya nchi yenye sifa ya kiDemokrasia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna rais wa ajabu na mbinafisi na mwenye vision ndogo, haijawa kutokea sina hakika kama anaweza kufikiria hizo ban kwa mukitadha wake,yeye atasema tu kwanza mimi sisafiri na pili watanzania kwanini waende huko wakati population yetu bado ni ndogo?Kanieni hapa hapa mfyatuane mie ntawasomesha bure
 
Mlikuwa mnasifia kila kitu sasa hivi mnajifanya kuja na ushauri. Na ninyi mnaotetea uvunjaji haki za kibinadamu mrudishwe Tz na kupigwa Ban kurudi US. Huku mtakuta historia ya 1 term, mpambane na mliowatukana miaka yote.
 
Kutoa onyo mara kwa mara ndiyo kuwa ukweli katika shutuma zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni comfidant wa Mkulu. Yule hata PM hamfikii na amewahi kutamka hilo. Huo ujumbe ni wa 'baba' yake kupita yeye
 
Tusingekuwa na rais wa ajabu na mbinafsi mpaka muda huu Makonda angekuwa yupo nje ya ofisi ya umma ili kupisha uchunguzi,ila huyu mbinafsi atafikiria maslahi yake binafsi kwa makonda na si naslahi ya nchi
 
Mzee Mwanakijiji,
Wewe ni katika watu waliochangia sana kufikia hali hii. Imekuwa mpiga filimbi mzuri wa utawala huu wa kidhalimu unaoua na kutesa raia wake.
Leo unajibaraguza tu lakini ukweli unaujua. Huu ni utawala wa kidhalimu na watu kama nyie mnasaidia kuendeleza udhalimu huo
 
MWANA KIJIJI MZUSHI TUU.... ALI KUWA ANA SUPPORT UJINGA WA AWAMU YA 5 NA KUTU KANA WAPINZANI. KISA KABUDI AMESEMA MANENO YANAYO HATA RISHA MWANA KIJIJI KUISHI MAREKANI SASA KAAMUA KUPIGA U TURN. HUYU MWANA KIJIJI TUM PUUZE NI MCHUMIA TUMBO. NJAA NI MBAYA SANA. WEWE NI YUDA ESKARIOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…