Inawezekana matatizo yako yapo kisaikolojia zaidi. Hapo mwanzo ulipokuwa mnene ulikuwa hujaridhika na muonekano wa mwili wako, baada ya kupungua uzito umerudisha confidence yako hivyo anajaribu kuover compensate for previous inconfidences. Jaribu kumwona Psychologist anayespecialize kwenye mambo ya sexual disorders.
Pole sana, lakini ulikosea sana kuanza kutumia dawa hizo bila kuonana na daktari halisi,
Nakushauri kama upo Dar nenda Muhimbili Hospital tatizo lako litatibika tu,
NB Kama halitatibika inabidi utafute haraka mpenzi na uolewe kama bado hujaolewa,
Na ikishindikana yote nitafute mie, nitajitolea kukutibu kwa kila siku angalau mara tatu!
Pole sana dada yangu!
Madame B Je unajua jina kamili la dawa hizo ulizotumia? Hata kama ni jina la kibiashara (trade name) achilia mbali jina halisi (generic name) itasaidia kupata dawa stahili!Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa.
Madame B Je unajua jina kamili la dawa hizo ulizotumia? Hata kama ni jina la kibiashara (trade name) achilia mbali jina halisi (generic name) itasaidia kupata dawa stahili!
Nimepima vipimo vyote unavyovijua na usivyovijua,majibu yamekuja niko safi.
Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa.
Kwa kweli ni miaka mitatu imepita so itakuwa ngumu kukumbuka mkuu md4doctor2000.
Ila nakuahidi nitafuatilia jina lake kisha nitakutumia kwa Pm mkuu
Asante shoga.
Yamenikuta.