BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 421
- 728
- Thread starter
- #21
Shida ni nin?Ila nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni nin?Ila nyie
sasa aliyeandika hiki kitabu alizaliwa miaka 500 baada ya Yesu, anapata wapi uwezo kurekebisha kitu kilicho exist miaka yote hiyo wakati hata hajatungwa mimba? arekebishe kitabu cha Isaya 53 na injili zote. ataweza kweli?Naomba niuwasilishe huu ujumbe kwa kiswahili ili wote waelewe...
SURATUL; IKHLAS
ILITEREMSHWA; MAKKA
HII SURA INA AYA 4
Sema: Yeye mwenyezimungu ni mmoja tu.
Mwenyezimungu tu ndiye anayestahiki kukusudiwa(viumbe vyake vyote vinajukumu la kumuabudu, kumuomba n kumtegemea yeye tu.)
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wala hana anayefanana naye hata mmoja.
Duniani kuna dini moja tu inayomuamini mwenyezimungu kuwa ni mmoja tu. Ni moja tu inayoamini uwepo wa manabii wote. Ni moja tu inayoipa sehemu ya ibada heshima. Ni dini moja tu inayowahitaji waumini wake wajisafishe na wawe safi kabla hawajaingia kwenye swala. Ni moja tu yenye kitabu kimoja tu bila ya editions. Ni moja tu yenye lugha moja. Ni moja tu inayowatenganisha Wanawake n mwanaume wakati wa ibada. Ni dini moja tu yenye muunganiko dunia nzima. Ni dini moja tu ambayo sio biashara duniani.
Mwisho, akitolewa kijana mpogoro asiyekijua kiswahili ila anaijua dini ya kiislamu vzuri, basi hata akipelekwa china/urusi/india/ufaransa au sehemu yeyote ile duniani, basi ataiongoza ibada na wote watamuelewa kwa utuo. Ninachomaanisha, hii dini ni universal n ni moja tu bila madhehebu yanayotofautiana kama kwengine.
Kumalizia, msiihusishe dini ya kiislamu na vikundi vya kigaidi kama Al shabaab, Al Qaida, taifa la Israel au kikundi chechote kile kingine cha kigaidi. Hivi vikundi ni vikundi vinavyofadhiliwa na mabepari ili kuvunja amani kwa lengo la kuwanufaisha mabepari kikoloni.
Mwisho nina ombi: Tafadhali, mwenyezimungu ni mmoja tu, hakuzaa wala hakuzaliwa. Hajamchagua yeyote kuja kumrepresent duniani. Nitarudi kesho au kesho kutwa kwa ajili ya chapisho jingine. Hakika ninakiri kuna mungu mmoja tu apasaye kuabudiwa kwa haki ila mwenyezimungu. Ninakiri kuwa hakika Muhammad ni mtume wa mwenyezimungu.
Acha hasira Elezea tu kwa utashi , I'li wengne waelewe.Acheni bangi, Mungu ni mmoja ila ana nafsi tatu, baba, mwana na roho mtakatifu. Kama hautaki andamana, tuko Kizimkazi msibani, msitusumbue
Una hoja ila yapaswa utibitishe Kama ndie baali kweli...kitheologia na kimaandikosasa aliyeandika hiki kitabu alizaliwa miaka 500 baada ya Yesu, anapata wapi uwezo kurekebisha kitu kilicho exist miaka yote hiyo wakati hata hajatungwa mimba? arekebishe kitabu cha Isaya 53 na injili zote. ataweza kweli?
kwa kifupi, allah sio mungu wa kweli, ndiye mungu yule yule baali aliyeshindwa mbele ya Eliya Mtishbi, waliomba hadi wakajichinjachinja lakini mungu baal hakusikia kwasababu ni mungu feki.
wengi huwa wanadanganyika ati kwasababu kwa lugha ya kiarabu mungu anaitwa allah basi allah anayetamkwa kwenye dini ya waarabu ndio yule yule Mungu wa kweli, Nooo, wasingetofautiana hivyo kwenye maandiko.
🤣Threads za dini zimezidi si muanzishe tu public atheism zenye debates vitabu na Nini...au nchi yetu haina dini ila watu wake Wana diniShida ni nin?
Is Mulungu the same as Jehova and Allah?Ukiwa na Ego kuuuuuubwa ndio unaweza ukafikiria kama hivi, ila ukitumia akili kidogo tu, Dunia ni kama kimchanga tu kwenye hii Universe, we are nothing, who ever created us kama yupo zaidi ya mmoja Ugomvi wao mdogo tu tungeshapotezwa siku nyingi tu.
Nimeongezea.Umeongelea Mungu wa wahindi, wachina, wayahudi etc kwanini hujataja Mungu wa watu wa Afrika?
Au sisi ni bendera fata upepo? Tunadandia Miungu ya watu.
Nacho sema Nimeshudia Anajibu maombi fasta Sana.Nimeongezea.
9.Ruwah Mangi
Huyu ukimwabudi vizuri hujip papo kwa papo.
Hapa umemaliza kila kitu mangi wakupe mbege ya buku.Nimeongezea.
9.Ruwah Mangi
Huyu ukimwabudi vizuri hujip papo kwa papo.
Mbege huku kwenye miji ya watu ipo🤗Hapa umemaliza kila kitu mangi wakupe mbege ya buku.
Hapa umemaliza kila kitu mangi wakupe mbege ya buku.
Mulungu ndo naniIs Mulungu the same as Jehova and Allah?