Kutambua Mungu mwenye nguvu ni yupi?

sasa aliyeandika hiki kitabu alizaliwa miaka 500 baada ya Yesu, anapata wapi uwezo kurekebisha kitu kilicho exist miaka yote hiyo wakati hata hajatungwa mimba? arekebishe kitabu cha Isaya 53 na injili zote. ataweza kweli?

kwa kifupi, allah sio mungu wa kweli, ndiye mungu yule yule baali aliyeshindwa mbele ya Eliya Mtishbi, waliomba hadi wakajichinjachinja lakini mungu baal hakusikia kwasababu ni mungu feki.

wengi huwa wanadanganyika ati kwasababu kwa lugha ya kiarabu mungu anaitwa allah basi allah anayetamkwa kwenye dini ya waarabu ndio yule yule Mungu wa kweli, Nooo, wasingetofautiana hivyo kwenye maandiko.
 
Acheni bangi, Mungu ni mmoja ila ana nafsi tatu, baba, mwana na roho mtakatifu. Kama hautaki andamana, tuko Kizimkazi msibani, msitusumbue
Acha hasira Elezea tu kwa utashi , I'li wengne waelewe.
Maana mjadala huu ni wa wote' ukielza kwa mapana na Matendo yake Huenda kuna mtu Akaamua kufuata Huyo Badala ya kurithishwa Mungu.
 
Una hoja ila yapaswa utibitishe Kama ndie baali kweli...kitheologia na kimaandiko
 
Mungu Ni Nani?

Katika historia yote, wanadamu wameabudu miungu ya aina mbalimbali. Hata hivyo, Biblia inamtaja Mungu mmoja ambaye “ni mkuu kuliko miungu mingine yote.” (2 Mambo ya Nyakati 2:5)

Ni Mungu gani huyo? Na kwa nini ni mkuu kuliko miungu mingine yote ambayo watu huabudu? Jifunze jinsi Mungu huyo anavyojitambulisha kwako.
1. Mungu anaitwa nani, na ni nini kinachoonyesha kwamba anataka tulijue jina lake?Mungu anajitambulisha kwetu kupitia Biblia. Anasema: “Mimi ni Yehova. Hilo ndilo jina langu.” (Soma Isaya 42:5, 8.) Jina “Yehova” limetafsiriwa kutoka katika Kiebrania na linamaanisha “Yeye Husababisha Kuwa" , au "Yeye muweza". Yehova anataka ulijue jina lake, na ulitumie. (Kutoka 3:15)

Tunajuaje jambo hilo? Alihakikisha kwamba jina lake linapatikana zaidi ya mara 7,000 katika Biblia!.
Jina Yehova ni la “Mungu wa kweli juu mbinguni na chini duniani.”—Kumbukumbu la Torati 4:39.2.
Biblia inatufundisha nini kumhusu Yehova?Biblia inasema kwamba kati ya miungu yote ambayo watu huabudu, Yehova ndiye Mungu pekee wa kweli. Kwa nini? Kuna sababu kadhaa. Yehova ndiye mwenye mamlaka yote, na yeye ndiye aliye “Juu Zaidi, juu ya dunia yote.” (Soma Zaburi 83:18.) Yeye ndiye “Mweza-Yote,” kwa sababu ana uwezo wa kufanya chochote anachotaka kufanya. Yeye ndiye ‘aliyeumba vitu vyote,’ kutia ndani ulimwengu na kila kitu kilicho hai duniani. (Ufunuo 4:8, 11).

Yehova peke yake ndiye amekuwepo sikuzote, na ataendelea kuwepo milele.—Zaburi 90:2.
 
Ukiwa na Ego kuuuuuubwa ndio unaweza ukafikiria kama hivi, ila ukitumia akili kidogo tu, Dunia ni kama kimchanga tu kwenye hii Universe, we are nothing, who ever created us kama yupo zaidi ya mmoja Ugomvi wao mdogo tu tungeshapotezwa siku nyingi tu.
Is Mulungu the same as Jehova and Allah?
 
Umeongelea Mungu wa wahindi, wachina, wayahudi etc kwanini hujataja Mungu wa watu wa Afrika?

Au sisi ni bendera fata upepo? Tunadandia Miungu ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…